Kumtongoza mwalimu wako.

Zamani walimu walikua watu wenye umri mkubwa sasahivi mwalim ana miaka 25 to 35 unategemea nini
 
 
Umekosea mkuu,sijawahi na nilishapita umri wa kuwa mikononi kwa walimu.Its just that naona kama ni kupungukiwa maadili kulikopitiliza kumtongoza/kufanya mapenzi na mwalimu kama baadhi wanavyojisema humu.
 
Sijawah kufanya icho kitu ila kuna mwalim nilimpenda ilikuwa siri yangu tu ya moyon teacher mwenyewe alikuwa wa geography
 
Muulize mgombea uraisi wa Ufaransa atakupa mbinu!
 
Sijasema rejected... Rejects! Mtu aliekataliwa na wengine!
Nimekupata mkuu.
I poroposed to her but she rejected me. Many girls have rejected me since then.
So I'm a reject.

Kwenye hiyo post nilimaanisha sijawahi kukataliwa kwa sababu siwahi kutongoza. Sitaki nije kuwa ni miongoni mwa wakataliwa
Haahaaa.
 
Mwalimu wangu Evelyn Salt njoo huku uje kujibu tuhuma zako za kubaka wanafunzi wako wa kiume!!
 
Mkuu pole Lakini huyo mwalimu alichukua uamuzi sahihi.
Kipindi fulani mke wangu alikuwa mkufunzi kwenye chuo fulani. Mwanachuo wa mwaka wa pili akamwandikia barua kumtongoza!Mke aliponionyesha nikakasirika kweli.Nikamshauri atoe taarifa kwenye uongozi wa chuo.Yule mwanachuo alifukuzwa huku amebakiza Sikh chache kuingia kwenye mtihani wa mwisho.Alikuwa ameshafanya graduation.
 
Nimekupata mkuu.
I poroposed to her but she rejected me. Many girls have rejected me since then.
So I'm a reject.

Kwenye hiyo post nilimaanisha sijawahi kukataliwa kwa sababu siwahi kutongoza. Sitaki nije kuwa ni miongoni mwa wakataliwa
Haahaaa.
Ooh!!! Nimekuelewa!!! Ila kwa kujieleza huku wewe si reject unanizuga tu hapa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…