Nimecheka sana mpaka mbavu zinauma!!!Waliowah kufanya mapenz na walimu wao (Mostly waliotoa ushuhuda humu JF) hawakuwatongoza ila walitegwa na walim wao na the way wanavyohadithia WALIBAKWA
Ila mimi mwalimu alinipenda kwa sababu nilikua nafaulu sana somo lake... Ila baada ya kua nae wengi wakadhani napata upendeleo... Kumbe wala mtoto wa watu! Upendeleo nilokua napata ni kutopewa adhabu na rafiki wa boo, chakula cha bure, kuchajiwa simuhili la kufaulishwa bila sababu ndio baya zaidi kuna bint alikuwa anapata A kifaransa ilipokuja necta alupata F .watu wote walijua kuwa mwalimu alikuwa anatunga mtihani pamoja na mwanafunzi wake.
HongeraIla mimi mwalimu alinipenda kwa sababu nilikua nafaulu sana somo lake... Ila baada ya kua nae wengi wakadhani napata upendeleo... Kumbe wala mtoto wa watu! Upendeleo nilokua napata ni kutopewa adhabu na rafiki wa boo, chakula cha bure, kuchajiwa simu... Utoto bana!!! Ila nilimzingua yule mwalimu...
Yeah,kwa Wanaume ni kubakwa.Nimecheka sana mpaka mbavu zinauma!!!
Waty wanabakwa na kujivunia!!! Aisee... Maisha raha sana!
Kwa stori za jukwaa la MMU ni kweli vijana wengi wamebakwa na walim wao wa KIKE au LecturersNimecheka sana mpaka mbavu zinauma!!!
Waty wanabakwa na kujivunia!!! Aisee... Maisha raha sana!
DuhKulikuwa na mwalimu wangu 1hivi wa kike alikuwa na tabia ya kutembea na wanafunz
Badae ilikuja julikana alikuwa mwathirika wa vvu alijikatia tamaa leo hatuko nae tena
Katika maisha yangu ya shule niliwaheshimu mno walimu wangu.Haikuwahi kutokea haya siku moja nikawaza kumtongoza mwalimu wangu.
Ukipitia baadhi ya thread humu utagundua kuwa kuna watu ambao wameshawahi kufanya mapenzi na walimu wao na inaonekana sio issue!Jambo hili linanishangaza!Unaanzaje kumtongoza? Au yeye ndiye anajenga mazingira ya kutongozwa?
Huenda aliamka vibaya siku ya mtihani.hili la kufaulishwa bila sababu ndio baya zaidi kuna bint alikuwa anapata A kifaransa ilipokuja necta alupata F .watu wote walijua kuwa mwalimu alikuwa anatunga mtihani pamoja na mwanafunzi wake.
HakuaIla mimi mwalimu alinipenda kwa sababu nilikua nafaulu sana somo lake... Ila baada ya kua nae wengi wakadhani napata upendeleo... Kumbe wala mtoto wa watu! Upendeleo nilokua napata ni kutopewa adhabu na rafiki wa boo, chakula cha bure, kuchajiwa simu... Utoto bana!!! Ila nilimzingua yule mwalimu...
Bado sijampata wa kumwekaHakuamwako,
Kweli?Bado sijampata wa kumweka
Katika maisha yangu ya shule niliwaheshimu mno walimu wangu.Haikuwahi kutokea haya siku moja nikawaza kumtongoza mwalimu wangu.
Ukipitia baadhi ya thread humu utagundua kuwa kuna watu ambao wameshawahi kufanya mapenzi na walimu wao na inaonekana sio issue!Jambo hili linanishangaza!Unaanzaje kumtongoza? Au yeye ndiye anajenga mazingira ya kutongozwa?
Tafuta tafuta tafuta mama.Bado sijampata wa kumweka
Hukukosea angala uliondoa dukuduku lako la moyoni.wakati niko kidato cha tatu mwalimu wangu wa somo la hisabati aliondokea kunipenda sana sababu nlifanya vyema katika somo lile..akawa wakati mwingi ananiita pale ofisini na kunipa kazi kidogo kidogo kama vile kusahihisha homework za wanafunzi wa vidato vya chini huku tukipiga stori za kawaida..kama kawaida,wanaume wengi tunapopata mapendeleo kutoka kwa mwanamke cha kwanza kuja akilini ni kuwa lazima huyu mwanamke anakuelewa ila hataki kukueleza moja kwa moja..ikawa ndo mawazo yangu kwa muda...ipo siku nikaamua kumtongoza ila hapo ndo nikaharibu..yaani iweje mtoto rika na wanangu kufikia kiwango hata ukanitongoza..je huoni mimi mamako wewe mvulana?..yani nilijaribu kuomba msamaha ila wapi..nikatumwa kwa mkuu wa shule nikasususia..akaenda mwenyewe kushtaki..yaani nlitimuliwa bila hata ya kupewa barua..ikawa nikionekana tena huko itakuwa balaa...nlijutia sana kuzoeana kwangu na huyu mwalimu...ila alikuwa mrembo kupindukia...kama angenikubali hakika singesita kuchukua fursa...utundu wangu uliniponza..
Wanaopatikana wengi ni rejects kama mimi!!! Rejects wawili tukikutana itakuaje?Tafuta tafuta tafuta mama.
Ukisikia kuna mahali wanapatikana Just go
Mtatengeneza very STRONG BOND.Wanaopatikana wengi ni rejects kama mimi!!! Rejects wawili tukikutana itakuaje?
Cc Paprikawakati niko kidato cha tatu mwalimu wangu wa somo la hisabati aliondokea kunipenda sana sababu nlifanya vyema katika somo lile..akawa wakati mwingi ananiita pale ofisini na kunipa kazi kidogo kidogo kama vile kusahihisha homework za wanafunzi wa vidato vya chini huku tukipiga stori za kawaida..kama kawaida,wanaume wengi tunapopata mapendeleo kutoka kwa mwanamke cha kwanza kuja akilini ni kuwa lazima huyu mwanamke anakuelewa ila hataki kukueleza moja kwa moja..ikawa ndo mawazo yangu kwa muda...ipo siku nikaamua kumtongoza ila hapo ndo nikaharibu..yaani iweje mtoto rika na wanangu kufikia kiwango hata ukanitongoza..je huoni mimi mamako wewe mvulana?..yani nilijaribu kuomba msamaha ila wapi..nikatumwa kwa mkuu wa shule nikasususia..akaenda mwenyewe kushtaki..yaani nlitimuliwa bila hata ya kupewa barua..ikawa nikionekana tena huko itakuwa balaa...nlijutia sana kuzoeana kwangu na huyu mwalimu...ila alikuwa mrembo kupindukia...kama angenikubali hakika singesita kuchukua fursa...utundu wangu uliniponza..
Vipi wanafunzi aliotembea nao wazima?Kulikuwa na mwalimu wangu 1hivi wa kike alikuwa na tabia ya kutembea na wanafunz
Badae ilikuja julikana alikuwa mwathirika wa vvu alijikatia tamaa leo hatuko nae tena