Ukiona ivo huyo ni Mwl accidentallyKupendwa na mwalimu raha sana
Heshima Mkuu, Magunga.Katika maisha yangu ya shule niliwaheshimu mno walimu wangu.Haikuwahi kutokea haya siku moja nikawaza kumtongoza mwalimu wangu.
Ukipitia baadhi ya thread humu utagundua kuwa kuna watu ambao wameshawahi kufanya mapenzi na walimu wao na inaonekana sio issue!Jambo hili linanishangaza!Unaanzaje kumtongoza? Au yeye ndiye anajenga mazingira ya kutongozwa?
Heshima Mkuu, Lucky!Kupendwa na mwalimu raha sana
Kama kuna ka ukweli hapa ...Heshima Mkuu, Magunga.
Katika saiki (Psyche) yangu nimegundua hivi, Umeshawahi kutembea na Walimu wako tena sana.Kinachokupata sasa ni "Tragedy of mis-calculation" hivyo umekuja kutafuta uungwaji mkono wa ulichokifanya.Ukiungwa mkono na wengi basi utajiona ulikuwa sahihi, usipoungwa mkono basi utajiona ulikosea sehemu.
Ni maono yangu, Mimi si nabii.You may agree or dis-agree.
Hehe likely being rightHeshima Mkuu, Magunga.
Katika saiki (Psyche) yangu nimegundua hivi, Umeshawahi kutembea na Walimu wako tena sana.Kinachokupata sasa ni "Tragedy of mis-calculation" hivyo umekuja kutafuta uungwaji mkono wa ulichokifanya.Ukiungwa mkono na wengi basi utajiona ulikuwa sahihi, usipoungwa mkono basi utajiona ulikosea sehemu.
Ni maono yangu, Mimi si nabii.You may agree or dis-agree.
Mmmmh!!!Yeye ndiye anajenga mazoea.
Waliowah kufanya mapenz na walimu wao (Mostly waliotoa ushuhuda humu JF) hawakuwatongoza ila walitegwa na walim wao na the way wanavyohadithia WALIBAKWAKatika maisha yangu ya shule niliwaheshimu mno walimu wangu.Haikuwahi kutokea haya siku moja nikawaza kumtongoza mwalimu wangu.
Ukipitia baadhi ya thread humu utagundua kuwa kuna watu ambao wameshawahi kufanya mapenzi na walimu wao na inaonekana sio issue!Jambo hili linanishangaza!Unaanzaje kumtongoza? Au yeye ndiye anajenga mazingira ya kutongozwa?
Sidhani kama hili swali linafaa dada kumuuliza kaka.Mmmmh!!!
Kwahiyo alikujengea then ukafanya kweli?
Kaka yangu mie na wewe tunaulizana tu, hebu unijibu usikimbie kama jana kwenye konfesheni.Sidhani kama hili swali linafaa dada kumuuliza kaka.
Si jibu sasa... labda umtume mtu mwingine aniulize... huu udada ninamashka naoKaka yangu mie na wewe tunaulizana tu, hebu unijibu usikimbie kama jana kwenye konfesheni.
Si jibu sasa... labda umtume mtu mwingine aniulize... huu udada ninamashka nao