Kumtoa outing mkeo mpaka ajipake annointing oil jamani??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,147
haaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa najuaaaaaaaaaaaaaaaa nimekugussssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ndugu zangu wanandoa embu kuwapenda wake zetu sio tu just kwenye vitanda na kuwaletea mavyakula yasiona idadi..tujue kuwatoa wake zatu outing jamani..wapo wake wanaotamani ..,mpaka leo kutolewa na waume zao na kuna wengine kutolewa outing mpaka ajipake annointing oil..

sasa basi ni vizuri ifike wakati muwe na muda wenu wa binafsi kama faamlia mkae nje ya nyumban mfurah muongee nini cha kufanya kuendeeleza upendo wetu na hilo litasaidia sana ......,maisha ya kuwa pamoja nyumban ni mazuri lakini nje ya nyumba yanabadilisha akili zenu yawezekana akili ikatulia zaidi mkawa mnawaza mtatumalizaje na kodi zetu tunazotoa kila siku na kuwawezesha kutoka kimaisha...outing si lazima mkeo aombe mungu ajipake annointing oil kama 1 SAMWEL 1:10-14 akifanya hivi wanaume mnafanyika kuwa nira na ole uwe nira hukumu ya Mungu utaitambua..ni kweli annointing oil inafungua mambo mengi sana lakini kwa hili jamani embu tufungue macho mwombe MUNGU akupe ufahamu wa jinsiya kuishi na familia..lazima ujue kazi unayoifanya si tu kunulia chakula nyumban ni pamoja na kutoana outing,,mbadilishe mazingira jamani....

Nawatakia Ndoa njema wanandoa wote na watarajiwa
 
Pdidy natamani kama vile uwe mwalimu wa wanandoa/wasio wanandoa wa hili jukwaa naona uwagusa sana na watajifunza mengi kutoka kwako.
 
haaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa najuaaaaaaaaaaaaaaaa nimekugussssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ndugu zangu wanandoa embu kuwapenda wake zetu sio tu just kwenye vitanda na kuwaletea mavyakula yasiona idadi..tujue kuwatoa wake zatu outing jamani..wapo wake wanaotamani ..,mpaka leo kutolewa na waume zao na kuna wengine kutolewa outing mpaka ajipake annointing oil..

P i think ukiona mwana mama hutolewi hilo nalo wazo..... Labda waweza barikiwa ukaanza kutolewa out....
 
Hujamaliza kule ushaanzisha nyingine hii inaweza kukufanya uonekane hata shughuli zingine unafanya nusunusu bwana mkubwa, Pdidy bwana, anyway nimependa thread yako maybe itasaidia tuwe tunatolewa out more offen, hakuna kitu kizuri kama kupata quality time na partner wako kila mnapopata mda mnatoka huko mkiwa wawili ni rahisi kuongea mambo yenu kwa utaratibu bila disturbance ya watu wengine au watoto. na unaweza mwelewa zaidi mwenzako kwa mazungumzo zaidi.mazingira ya kuongea kila siku chumbani yanachosha sana
 
P i think ukiona mwana mama hutolewi hilo nalo wazo..... Labda waweza barikiwa ukaanza kutolewa out....

nitoe basi jamani haa siku moja ila itabidi niji annoint tuishie kwenye soda..na chakula
 
haaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa najuaaaaaaaaaaaaaaaa nimekugussssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ndugu zangu wanandoa embu kuwapenda wake zetu sio tu just kwenye vitanda na kuwaletea mavyakula yasiona idadi..tujue kuwatoa wake zatu outing jamani..wapo wake wanaotamani ..,mpaka leo kutolewa na waume zao na kuna wengine kutolewa outing mpaka ajipake annointing oil..

sasa basi ni vizuri ifike wakati muwe na muda wenu wa binafsi kama faamlia mkae nje ya nyumban mfurah muongee nini cha kufanya kuendeeleza upendo wetu na hilo litasaidia sana ......,maisha ya kuwa pamoja nyumban ni mazuri lakini nje ya nyumba yanabadilisha akili zenu yawezekana akili ikatulia zaidi mkawa mnawaza mtatumalizaje na kodi zetu tunazotoa kila siku na kuwawezesha kutoka kimaisha...outing si lazima mkeo aombe mungu ajipake annointing oil kama 1 SAMWEL 1:10-14 akifanya hivi wanaume mnafanyika kuwa nira na ole uwe nira hukumu ya Mungu utaitambua..ni kweli annointing oil inafungua mambo mengi sana lakini kwa hili jamani embu tufungue macho mwombe MUNGU akupe ufahamu wa jinsiya kuishi na familia..lazima ujue kazi unayoifanya si tu kunulia chakula nyumban ni pamoja na kutoana outing,,mbadilishe mazingira jamani....

Nawatakia Ndoa njema wanandoa wote na watarajiwa

Baada ya kuisoma hii thread, ...You sound like you are the one ambaye hutoki outing na mkeo.
Hivi kuna mtu aliyeoa na kweli akampenda mke halafu asim-treat na outing yoyote every now and then?
Kuna maana gani ya kumwoa mke halafu unamfungia tu ama humpi-treats kama dinner, movie, club, weekend getaway, beach etc.
 
Umewagusa wengi mkuu kwa hilo kwani waliowengi akishaoa hawezi kumtoa out mkewe na wengine huwa hawajiamin akiona mkewe amependeza anahisi kama ataibiwa na wajanja
 
Aisha mbaya zaidi hata ukiwaona wanaenda sehemu utakuta baba katangaulia mama kamshika mtoto nyuma ya nini yotee jamani???kama unamtoa kuwa free usiwe na aibu na mkeo mndio ulieingia nae church sasa kumwacha mtoto wamwenzio maana ke nini..au utakuta wanatembea wanafika sehemu mwanaume anajifanya kununua kitu dukani jamani......kutongoza utongoze wewe kanisan uingie wewe mtoto utafute wewe barabarani umwonee haya laana gani hiz jamani???kama vipi kiuno kinashikika shika kiuno cha mkeo kumbatia tembea nae kwa maringo game & other plc wacha watu waongee unatakiwa usiishi kama binadamu wanavyotaka kuishi uishi ishi kama mungu anavyopenda uishi..dall,,,m nakwambia mkewangu mbingu anaanza kuiona hapa hapa dar akifka huko atakuwa anapigiwa parapanda tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom