Kumtoa msichana ubikra ni fedheha na kichefuchefu au ni raha?

msemakweli10

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
229
46
Kuna msichana imetokea kanifia, anaonesha kabisa kwamba anataka tufanye mapenzi.

Huyu msichana nafahamu historia yake kwamba ana tabia nzuri na si mtu wa kujirusha.

Nahisi ana ubikra na anataka mfalme wa kumleta kwenye ulimwengu wa mahaba. Sasa, naomba kuuliza, nitakumbana na fedheha au nitafurahia nitakapomtekelezea huyu msichana azma yake?
 
Kama si mtu wa kujirusha vipi atake kujirusha na wewe.

Aliye jituliza hajirushi hata siku moja, wenye kujirusha ni wale wale, na wako kwenye yale yale makundi.

We mwenyewe hujatulia, vipi utapata mwanamke aliye tulia, ukijituliza utapata walio tulia, tuliza ball kijana.
 
Kuna msichana imetokea kanifia, anaonesha kabisa kwamba anataka tufanye mapenzi.

Huyu msichana nafahamu historia yake kwamba ana tabia nzuri na si mtu wa kujirusha.

Nahisi ana ubikra na anataka mfalme wa kumleta kwenye ulimwengu wa mahaba. Sasa, naomba kuuliza, nitakumbana na fedheha au nitafurahia nitakapomtekelezea huyu msichana azma yake?

red: sio wote waliotulia bado ni bikira. unaweza kutana na bikira ya kimasai, kichina au ya ndimu.
bold:unawezaje kuhisi Ubikira?

unaweza kupata vyote. ushauri: kama unaogopa, mtafute mtu am-do huyo kisu wako ili uangalie atapata nini kati ya fedheha au furaha
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Umenichekesha sana.
Kuna ndugu yangu alikuwa kahabaa akiwa form 2 alihamia kwa mwanaume akazaa watoto waliokufa twins. Ndugu zake wakaenda kumnyanyua juu juu wakamrudisha shule. Katika mihangaiko alipopata kazi bush akadaka jamaa wa tra mshamba ila anajiona wa mjini.

Kanifurahisha eti hata siku mumewe akisikia stori zake hataamini manake anavyojua alimkuta bikira. Mahaba niue!
 
utakufa kilaini kweli ww!na kwa inavyonekana utataka kula chupuchupu kwa uroho wa bikra!juz juz tumezika mtoto mdogooo kwa HIV so kabla ya kwenda kutoa bikra utupe location ya unapoishi ii tuwe tunaeta pampers huko!
 
Back
Top Bottom