Kumshika mkono amekuwa mkali balaa

Kumshika mkono amekuwa mkali balaa

Unaona ni sifa kutumia kanisa kama mwamvuli wa wewe na uyo mwenzako ili mfanye uasherati wenu!!?.

Maelezo yako yanaonesha wewe na huyo mwenzako hamkua na dhamila ya kweli kwenda kwenye hiyo ibada ya tofauti na kanisani kwenu bali hulka ya uasherati ndio ilio wapeleka huko.

Mwisho unataka ushauri wa nini wakati ameisha kwambia hapendi kushikwa.?.

Pia kwa tabia yake hii ya kutopenda kushikwa, anza kujiandaa kumgegeda kwa njia ya Bluetooth.

Sio kweli kanisani ni sehemu moja wapo ya kukutana na mpenzi wako.
Usikariri formula za maisha.
 
nidhamu ni kitu cha pekee sana,inawezekana wakati unamshika mara ya kwanza na mnakaa zero distance ilikuwa ni sehemu ya faragha hakuna watu sasa wewe ukaona ndo uendelee kumshika hadi sehemu za watu?yawezekana binti amelelewa kwenye maadili fulani ya kinidhamu kwaiyo usimshikeshike hovyo hadharani
 
lowasa atosha, tupo kwenye harakati ww upo na mapenzi makanisani. dah imenisikitisha sana
 
Peleka 'FB' utashauriwa vyema tu!. Kanisa la MUNGU unageuza kuwa danguro lenu?
 
Msikilize, usilazimshe asivyotaka, tahadhari msije mkakimbilia kula tunda kabla ya ndoa
 
Mshikishe laki moja kwanza kisha ndo mshike.
 
Watu mnaenda kanisani kusali au kufanya nini? wakati najua siku ya jumapili kabla hujaenda kanisani mawazo yote yanakuwa ya kanisani sasa wew duh!

Huyu jamaa ni mjinga sana.... Yaani kaona hayo yote aliyoyafanya hapo juu ni sawa kabisa..... Watu siku hiz hawaheshimu nyumba za ibada... Zimekuwa kama sehem ya watu kuonyesha mitindo na kukutana kwa ajili ya kukamilisha projects zao.
 
sasa kama unataka kuoa ukamtafute wap? kansan ni moja ya sehem ya kukutana na wenzio hata mke unawez kumpata kansani
 
sasa kama unataka kuoa ukamtafute wap? kansan ni moja ya sehem ya kukutana na wenzio hata mke unawez kumpata kansani

Ww hukuwa na Nia ya kuoa.. Ur intention was to hit n run nothing more na ndo maana hata hizo wk 2 ukaona nying... Inawezekana hata ukiwa kanisani mawazo yako kwa Akina dada tu na si ibada
 
Back
Top Bottom