KUMRADHI..!!

RingaRinga

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,038
505
Kwa nilichopost asubuhi ya leo mida ya saa nne,
Kwa ambao hawakusoma taarifa hiyo na waliosoma ila hawana kumbukumbu itoshe kusema kwamba haipaswi hata kujua.
Haikuwa rahisi kudhani kuwa ni uzushi kwa kuwa niliitoa katika chanzo ambacho usingedhani kama wanaweza kuandika taarifa isiyokuwa na uhakika.

Wanajamvi, moderators na wote mlioathirika na ujumbe ule, Niwieni radhi sana.
 
Kwa nilichopost asubuhi ya leo mida ya saa nne,
Kwa ambao hawakusoma taarifa hiyo na waliosoma ila hawana kumbukumbu itoshe kusema kwamba haipaswi hata kujua.
Haikuwa rahisi kudhani kuwa ni uzushi kwa kuwa niliitoa katika chanzo ambacho uusingedhani kama wanaweza kuandikavtaarifa isiiyokuwa na uhakika.

Wanajamvi, moderators na wote mlioathirika na ujumbe ule, Niwieni radhi sana.
Pamoja ya kuwa sijausoma ujumbe husika (nisingependa kwa sasa niujue), NIMEKUSAMEHE. Kuomba radhi ni UUNGWANA. Ni Tabia njema na Ustaarabu. Twajenga mahusiano mema kwa kutakana radhi tunapokosea.....Asante sana ndugu!
 
Back
Top Bottom