- Feb 10, 2006
- 4,541
- 16,801
Aiseee hiki kijamaa hata mie kimenitumia.....nishakihisi kwa ile english yake ya ugoko....inabidi watu wapewe shule ya bure juu ya hizi link ambazo tunatumiwa....
Kuna mtu kajaribu kufanya alichofanya na kukifanikisha kwa muda mfupi huo amewatumia emails walio wengi na kuambatanisha link anayodai haina virus hata kama inaelekea ina virus. Ukweli link hiyo si salama kabisa!
Aiseee hiki kijamaa hata mie kimenitumia.....nishakihisi kwa ile english yake ya ugoko....inabidi watu wapewe shule ya bure juu ya hizi link ambazo tunatumiwa....
Aiseee hiki kijamaa hata mie kimenitumia.....nishakihisi kwa ile english yake ya ugoko....inabidi watu wapewe shule ya bure juu ya hizi link ambazo tunatumiwa....
Hata mi nishakijua tena kimo humu ndani!!
Aiseee hiki kijamaa hata mie kimenitumia.....nishakihisi kwa ile english yake ya ugoko....inabidi watu wapewe shule ya bure juu ya hizi link ambazo tunatumiwa....
Wacheni woga ,si unakong'oli tu ,maana zama za kutishana zimepitwa na wakati ,mi huwa nafungua kila kitu ,na kwa vile system yangu iko ngangari kinoma ,akuna kidudu kinachoweza kupenya bila kuvutwa ukosi na kuwekwa pembeni,mambo yakizidi naformat alafu navuta backup narudi tena uwanjani na porogaramu zangu zote zinakuwa uptodate. Kwa ufupi kila mwisho wa wiki nafanya backup ya pc na kuweka pembeni.
Acha Ubishi wewe ukiambiwa kitu, Kila siku unakuwa mbishi sanaWacheni woga ,si unakong'oli tu ,maana zama za kutishana zimepitwa na wakati ,mi huwa nafungua kila kitu ,na kwa vile system yangu iko ngangari kinoma ,akuna kidudu kinachoweza kupenya bila kuvutwa ukosi na kuwekwa pembeni,mambo yakizidi naformat alafu navuta backup narudi tena uwanjani na porogaramu zangu zote zinakuwa uptodate. Kwa ufupi kila mwisho wa wiki nafanya backup ya pc na kuweka pembeni.
Wacheni woga ,si unakong'oli tu ,maana zama za kutishana zimepitwa na wakati ,mi huwa nafungua kila kitu ,na kwa vile system yangu iko ngangari kinoma ,akuna kidudu kinachoweza kupenya bila kuvutwa ukosi na kuwekwa pembeni,mambo yakizidi naformat alafu navuta backup narudi tena uwanjani na porogaramu zangu zote zinakuwa uptodate. Kwa ufupi kila mwisho wa wiki nafanya backup ya pc na kuweka pembeni.
Huyu jamaa aliiteka JF kwa muda jana..ilikuwa nikifungua site nakumba na ujumbe. Kumbe link ilikuwa kirusi mbaya. Duh..
Tunashukuru Max kwakutuhabarisha.
mwiba kuwa muangalifu, mdudu akiwa latest antivirus unakuta saa ingine haikamati mpaka wamtafutie suluhishoWacheni woga ,si unakong'oli tu ,maana zama za kutishana zimepitwa na wakati ,mi huwa nafungua kila kitu ,na kwa vile system yangu iko ngangari kinoma ,akuna kidudu kinachoweza kupenya bila kuvutwa ukosi na kuwekwa pembeni,mambo yakizidi naformat alafu navuta backup narudi tena uwanjani na porogaramu zangu zote zinakuwa uptodate. Kwa ufupi kila mwisho wa wiki nafanya backup ya pc na kuweka pembeni.
Jamani sasa sisi tulio-click tukizani tunasaidia JF tufanyaje?maane nili-click kiroho mbaya sio mara moja au mbili tu!nisaidieni kuokoa kakompyuta kangu!