Kiukweli kipindi huyu kijana akiwa mkuu wa wilaya alionyesha Kiburi kikubwa sana. Utendaji wa kibabe, Mabavu, jeuri na dharau .
Sitasahau siku aliyomuonyesha dharau ya wazi yule Mama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Inawezekana anavebwa na influence ya Baba yake ambaye ni kati ya viongozi wa chama mkoa wa Arusha lakini iwapo watalazimisha basi Mungu wa Mbinguni atasimama penye haki yake.
Sabaya ni tofauti sana na Makonda. Makonda ana ubabe lakini ubabe wake ni kwenye kazi, makonda anapenda haki pia ana hofu ya Mungu hasa. Tofauti na huyu Masai jamaa amejaa kiburi na jeuri sana.