Kumpiga picha za uchi/video "mchumba wako" ni sahihi?

Kumpiga picha za uchi/video "mchumba wako" ni sahihi?

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Wadau poleni na kazi za leo,ok
Kuna kitu huwa najiuliza sipati majibu ya kuridhisha,Hivi kama una mchumba unaetarajia kumuoa/kuoana unaweza kumpiga picha za uchi?au video za uchi? Mdada kama Mchumba wako anakupiga picha za uchi unajisikiaje ?
Nani sasaivi ameoa/ameolewa na alimpiga mke wake picha za uchi enzi ya uchumba?
Karibu tujadili.......
 
Mh! Nadhan ni mambo ya kijinga na hayana maana hasa kwa mpenz unaependana nae na kuheshimiana! Mpenz wako unamuona mara nyingi tuu na nguo mnamvua mwenyewe na unaoga nae sasa picha zake za utupu za nin?

Inshort ukishakuwa na picha hizo huwez kuziangalia peke yako, unaweza share na mtu thru phone or kumuonesha tu..afta kuona pic hizo thaman ya mpenz wako itashuka! Kila alieona pic zake za utupu atakuwa anamdharau tu na kumuona si lolote na wengine watataka kwenda mbali zaid kutaka kuprove kwa picha waliyoona na kumfunua mpenz wako live!

so kwa mpenz wako wa ukwel huwez fanya huo mchezo wa hatar na wakijinga wa kumpiga picha na video.
 
Ni upuuzi kupigana picha za utupu! Halafu mkikwarazuna kidogo tu, yule mjinga zaidi anazirusha kwenye mitandao kumtia fedheha mwenzie, ujinga mtupu!
 
Siku hizi naona kama kuna kaulimbukeni hivi. Na hivi vi-samsung basi kila mtu shijaa, anajua kuchukua Movie n.k.

Ili iweje, ushamba tu. kama zamani za kuning'iniza kitambaa mfuko wa nyuma ki-Tupac. wabongo kwa copy & paste, iko siku watapaste mavi.
 
Ni makubaliano tu..labda anayepiga kimya kimya ndo haifai!!!!!
 
Mie sioni cha ajabu hapa hasa kama utampiga kwa ajili ya mahaba yenu ...

Ni sawa na kiss hivi huwa ina maana gani??
 
Ni ushamba coz kila mnapokuwa pamoja mnavuana nguo na kuonana sasa iweje uwe na picha zake za uchi? ni ulimbukeni tu mie nikigundua umeniphotoa hizo picha hilo varangati sijui litaishia wapi? Kwanza utakuwa unidhamin hata siku moja pili hiyo ni full evidence kuna kupotea au kuonwa na mtu mwingine. So ninawaasa hasa wadada wanaopenda mambo digital waache hizo tabia maana mwisho wa siku ni kuabika.
 
Mie sioni cha ajabu hapa hasa kama utampiga kwa ajili ya mahaba yenu ...

Ni sawa na kiss hivi huwa ina maana gani??
Ni tofauti sana si sawa na kiss kama unavyofikiria, hiyo kiss ukimkiss inakaa shavuni milele? sasa kama ni kwa ajili ya mahaba yenu wawili ni kwanini siku mkikosana uzianike hadharani? au ukipigwa picha za utupu ndo unapendwa zaidi?
 
Kwani huo ujinga bado upo hata siku hizi? Mimi napita tu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mtindo huu ninao, na huwa nazitumia kwa puchu ninapokua
niko mbali naye
 
Back
Top Bottom