Huwezi kupenda pasipo kumwamini umpendaye...upendo wenyewe tu kwa lugha nyingine ni matokeo ya imani...
umeonaaaaaa eeeee bora uwe kama mimi tu hata likitokea hauumii sanaaaaaa
ha ha ha ha acha hizo bana due to some issues tulizokumbana nazo tunajikuta tunapenda ila no kumuamini
naomba nikuulize swali kutokana na thread yako hivi unaweza ukawa na akili nyingi halafu huna kumbukumbu is this possible?ndiyo sababu ya kutokosa uaminifu hadi leo?
amu mpenzi nimekuelewa sana bimdogo! Wala usiwe na shaka!hivi umenielewa bibie???
Marafiki hivi inakuaje you love someone deeply but you don't trust him/her.Hakuna tatizo kubwa au kosa kubwa lililosababisha nikose kumuamini.Saa nyingine nahisi ni wivu juu yake saa as a result to drive him away from me na pia i can reach the level intimacy.
Embu tuongee issue kama hii tunaihandle vipi?najua wengi wetu inatutokea.Kwa upande wangu mie huyo mjamaa sikai nae sana anakaa mkoa mwingine but mostly of the time tunakuwa pamoja at least twice within a month.
Kaunga Nicas Mtei watu8 Smile snowhite Mtambuzi Mentor Asprin ladyfurahia Paloma Nivea King'asti The Boss Evelyn Salt KOKUTONA YNNAH arabella Mwanyasi lara 1 Filipo mwaJ Kaizer gfsonwin MwanajamiiOne aisee list ni ndefu sana siimalizi wana mmu kwa ujumla mawazo yenu yanahitajika kuihandle situation ya aina hiyo
Marafiki hivi inakuaje you love someone deeply but you don't trust him/her.
Mkuu vipi tena mbona matusi kwenye ustaarabu? Tumia ID. yako tulioizoea basi ili tujue uko serious.
Hahahahah namwonea huruma huyo chalii ako asee. Na ukilivurumisha yeye anatulia au na yeye analianzisha?
Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Ukipenda utajikuta automatikale unamwanini. Ndo ile mamsemo ya mapenzi ni upofu yanapokujaga. Ila kama ni kutamani tu..... Aaaaah uaminifu tupa kule.
BTW we mwenyewe unajiamini? Isije ikawa mkuki kwa nguruwe lol
Hivi leo Jumangapi?
Usipokuwa umelewa unakuwa na mapweint kama nini
Mtu unayempenda unamwamini 101%