mi simuamini mtu kiviile ila doubt zangu huwa sizifanyi ziwe ugomvi...simwamini mtu yoyote duniani humu..Aisee kwangu haikuji hii kitu. Akili na hisia zangu ziko connected. Siwezi nikupende at the same time sikuamini.
Kama nakupenda then I should trust and vice versa.
niliteseka sana lakini sasa basi
sasa hapo unaharibu...ugomvi wa nini? as long hakuonyeshi na wala hujaona assume kwamba kila kitu kipo ok lakini akili yako isome 50/50hapo ndo tofauti yangu na mie jamani mie nalivurumishaga liugomvi from nowhere but not all the time
utamuamini vipi mtu? binadamu anaaminika kweli? wewe penda tu mengine achana nayo!utazeeka bure my dear
enjoy youself!...
ha ha nimejikuta nimecheka sana thats my girl looo.
hapo ndo tofauti yangu na mie jamani mie nalivurumishaga liugomvi from nowhere but not all the time
Mkuu vipi tena mbona matusi kwenye ustaarabu? Tumia ID. yako tulioizoea basi ili tujue uko serious.mpenda ngono utamjua tu hata threads zake m.a.t.a.k.o tu puuu
Hahahahah namwonea huruma huyo chalii ako asee. Na ukilivurumisha yeye anatulia au na yeye analianzisha?
Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Ukipenda utajikuta automatikale unamwanini. Ndo ile mamsemo ya mapenzi ni upofu yanapokujaga. Ila kama ni kutamani tu..... Aaaaah uaminifu tupa kule.
BTW we mwenyewe unajiamini? Isije ikawa mkuki kwa nguruwe lol
Hivi leo Jumangapi?