Kumpenda mtu asiyekujua

Pole zako sijui kupenda ni nini maana unapenda mtu hata hakufahamu
 
hahahah kha!!!!!! Hujasex nae kifikra kweli? duh!!!!!!!!!! hi ndo dunia.
 
#Vicker wakawaida sana mbona,,,,,, labda #dumelo na natural colour yake.
 
Mpendwa mtaje jina then wanajf tutaanzisha hashtag kukusaidia..Ukutane nae japo akupe one night stand teh
 
Happy kwa iyo uwa unakojoa kabisa
 
Kutamani kupo na ni kitu normal na kila mtu ana ugonjwa wakle mfano mm nikikutana na mwanaume msafiiiiii yaan msafii aswaaaa yaani nitakodoa mimacho mpaka atakapoondoka haijalishi ni nani yaan napataka picha nyingi kichwani mia kidogo! So iyo ya kwako haina shida its normal! Ilinitokeaga 2002,2006 nilimpendaga ronaldinho gaucho haijawai tokea si kwa ajiri ya mapenzi ila kiwango chake cha uchezaji mpira! Kila gazeti lenye picha yake nilinunua. Na yale meno yake ila nilimpendaga tu sina sababu! Kombe la dunia lote nilikuwa nafatilia lika match kwa sababu yake! Juzi tu kombe la dunia kocha wa brazil hakumuita kwenye kikosi niliumia na siku ile walivyopigwa magori 8 nililia nikawaza angekuwepo gaucho hali iyo isingetokea! Nampenda huyu kaka akiwa uwanjani sionagi mchezaji yeyote zaidi yake!
 

happymsafiMember
Joined: Today
Messages: 9
Likes Received: 1
Trophy Points: 3

Umekuja na ID mpya ili tusijue wewe nani? Sasa kuna haja gani ya kutosema jina lake wakati unatumia fake identification? We mtaje tu kuna wataalamu huku wanaweza kukuunganisha nae ili usilowanishe pichu yako hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…