Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,675
- 106,781
Hi there 👋👋
Kwa wakatoliki mzazi aaliyemsimamia mtoto ubatizo familia yeye na familia yake inakua imeungwnishwa na familia ya mtoto aliyemsimamia ubatizo..Baba au mama wa ubatizo anakua anamajukumu makubwa kama au zaidi ya mzazi halisi wa kumlea (Kwa mujibu wa kununi za kikanisa)
Hivyo basi,
Familia hizo mbili hazipaswi kuozeshana watoto wao..(?) Maana zinakua zimeunganishwa kiimani/kiroho na kua familia moja..Hio ni kwa mujibu wa sheria za kikatoliki ambazo mlei/Muumini lazima uzifuate.
Sasa upendo nao hauna heshima maana hauchagui pakuota (Love grows like weeds). Hivi ikitokea umempenda mtoto wa mtu aliyemsimamia ubatizo wa wadogo au ndugu zako au mtoto wa aliyekusamamia ubatiz inakuaje???
Kanisa linaweza waruhusu Kweli??
Nimewaza tu maana ukiwa maskini unakua na ndugu weeengi hadi kero!!!