Wajinga sana🤣🤣Siku hz wanaume ni selfish sana unaweza maliza ufundi wako wote mwisho akamalizia na atakayekuoa atafaidi sana....kisa tu wanaona zile huduma unazompa wanahisi kwamba unapalilia ndoa kumbe maskini ya Mungu hata hauwazi hiyo kitu
🤣🤣🤣Kwa hiyo siku hizi hatuna adabu?Bibi zenu walikuwa wako composed. Unatunza kitu bikra unakula mzigo 0km kabisa hata ukiumwagia hela haina mbambamba. Hawaombi maana sio adabu kuomba omba.
Sasa mtoto mzuri kwahiyo si tumekubaliana pesa mnatupatia mapema kabisa ikibidi kabla ya mtongozo?Bado hujasema, na utasema!!!
Sasa hapo ndio tatizo linapoanzia. Kutoa ni moyo si utajiriNdo maana tunataka nipe nikupe
Ukiwa mtoaji we mwenyewe utaona tu demu atavyoshuhulika...utaogeshwa,utakatwa kucha,utafuliwa yaani utapewa hadi vya sirini na vya bakulini
Haina hiyo,hiyo Nguvu Bora uongeze ubunifu kutafuta Hela viuno atakata yeye😎😎😄 Hahah ukiona haupewi hela ujue hujiongezi. Ongeza ufundi wa hubani utashangaa muhuni kauza nyumba ya urithi mnagawana hela 🤣🤣🤣
Sasa hio ni kitu ya kuuliza 😀🤣🤣🤣Kwa hiyo siku hizi hatuna adabu?
Ukisikia hivyo...unatapeliwa tuBaby nikwambie kitu🤣🤣🤣
Na babu zetu waliwastahili. Ila nyie ndio size zetu sasa, au umesahau unapewa wa kufanana nawe?Bibi zenu walikuwa wako composed. Unatunza kitu bikra unakula mzigo 0km kabisa hata ukiumwagia hela haina mbambamba. Hawaombi maana sio adabu kuomba omba.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Eti eehHaina hiyo,hiyo Nguvu Bora uongeze ubunifu kutafuta Hela viuno atakata yeye😎😎
Hizi njaa zinatesa sana.Ukisikia hivyo...unatapeliwa tu
Na babu zetu waliwastahili. Ila nyie ndio size zetu sasa, au umesahau unapewa wa kufanana nawe?
Basi nanyi msituombe ombe ebo😂
Amini nakwambia🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Eti eeh
Nasi hatuachi kuomba, na aombae hupewa.😄 Hahahahahah ni balaa zito. Kuombwa ni pie
Ngoja niweke mikeka hapa, ikitiki unaoga midolari[emoji23]Countrywide ita na wengine mje mnidharau [emoji85][emoji85]
Tena dharau ziwe kubwa, mnitupie dharau za dollar itapendeza zaidi
Mwali wangu Tafuta Hela🤣🤣🤣 utanishukuru baadae.Countrywide ita na wengine mje mnidharau 🙈🙈
Tena dharau ziwe kubwa, mnitupie dharau za dollar itapendeza zaidi
Ukinitukana kabisa itakuwa shingapi? 🤣🤣🤣Ngoja niweke mikeka hapa, ikitiki unaoga midolari[emoji23]
Zangu ninazo ila za kunidharau nazitaka pia!!Mwali wangu Tafuta Hela🤣🤣🤣 utanishukuru baadae.
🤣🤣🤣sawa, shemeji anakuja na midharauuZangu ninazo ila za kunidharau nazitaka pia!!
Tena wanitukane ili dau liongezeke me napenda dharau na matusi ya PESA 🤣🤣🤣
Huyo maokoto anayo ya kutosha sana[emoji23]Mwali wangu Tafuta Hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utanishukuru baadae.
Itategemea na odds nilizokula[emoji23]Ukinitukana kabisa itakuwa shingapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]