Kumnunulia simu mwanamke

Kumnunulia simu mwanamke

Wanajamii, nina mpenz wangu yapata mwaka mmoja sana, nilikuwa na tabia ya kushika na kuangalia cm ya mpenz wangu, ilifika wakati akanikataza nisishike tena cm yake kila mtu abaki na yake, saiv cm yake ameibiwa anaomba nimnunulie cm nyingine, sas mim najiuliza nitamnunuliaje cm wakat yeye hataki mm nishike cm yake? ushaur wenu jamani.

Sio tabia nzuri kushikashika simu ya mapenzi/mchumbaake/mke wako....usiitafute shari acha shari ije yenyewe
Akishakujua una hizo umekwisha....! Mwanamke ni kiumbe mwerevu kuliko nyoka...mpende mheshimu mwamini! Mengine acha yaje kama ajali
Ingia mfukoni kamnunulie cm nzuri itakayoendana naye
Kama ishu ni gharama tuone wadau.....!!!!
 
wenzio kila mwezi tunawanunulia simu sasa wewe mara moja tuu umekuja kulialia hapa kwani wewe umejipangaje aiseee?
 
Kama demu usijaribu tena . U know what bro uwezi juwa maybe hiko kimeo ulicho mpa mwanzo na yy kamuhonga boya mmoja hivi. Wazungu wana sema no trust women jihulize kwann akutaka simu yake uhishike .think again
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom