Kumnunulia simu mwanamke

Kumnunulia simu mwanamke

Kama mimi nisingesubiri had aniombe nimnunulie,ningejiongeza kiakili tu.Unatuaaibisha wanaume wenzio bhana.Em'fanya bibie apate simu
 
Mla mbuzi hulipa ng'ombe... Unataka kulinganisha gharama ya mapenzi yenu na gharama ya simu.. I lost ma phone two weeks ago,, my woman akanipa yake then yeye akabaki na nokia ya tochi.. Tarehe 25 mwezi huu ni birthday ake nampa zawadi ya simu.. Nzuri kuliko aliyonipa yeye..““ au na mm ningeanzisha uzi wangu... Acha hizooo mnunulie manzi ako simu,, tena mfanyie saplaaaizi...
 
Kwan SIMU shingapi mkuu....
Fungua moyo mpe mtoto kitu roho inapenda.
Ngapi tunaweka kwny glass??
 
Mnunulie tu kwa kuwa hiyo iliyoibwa hukumnunulia wewe. Na ukumbuke si kila kilicho chake unachoshika ulimnunulia wewe, sawa? Ila ushauri wangu ni kwamba akuruhusu tu kuishika kwa ajili ya kumuwekea katika chaji, au kumpelekea alipo kama labda inaita au kuna sms imeingia na wewe uko karibu nayo kuliko yeye.

Kinyume cha hapo NEVER TOUCH YOUR FIANCE'S MOBILE PHONE, NEVER!!!!!!
 
Usipofanya wenzako watakusaidia endelea kujiuliza tu na kuomba ushauri, hivi vingine nivyakuamua tu.
 
Fanya chap kaka Olaph.uk unasubiri nini mi sijapigiwa tokea jana bwana...!!! Fanya ya msingi mkuu,
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu atakuja atasema WANAUME WA DAR KTK KASHFA NYINGINE!
 
Hivi unaongelea simu wakati wengi wananunua magari na nyumba. Unaona simu iiisu
 
Kama hutamnunulia cm mtawasiliana vp.? Huyo ni mpenzi sio mke useme mtakutana nyumbani. Acha ubahili bwana. Ha!
 
Utakuta mtu mzima hapa kajiandikisha kupiga kura, na kura yake itachangia kufanya maamuzi. Hapa ndipo naishiwa nguvu kabisa kila nikifikiria hatma ya nchi yangu. Mungu atusaidie sana Tanzania.

Tena mwanaume anayetegemewa kuwa kichwa cha familia, maana nchi huanzia hapo kwenye familia, pakivurunda hapo kila kitu vururu vururu, daaaaah!! Am so wandaz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom