DON SINYORI
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 511
- 418
Hapo ulimpatia,maana ukiwadai sana wanaanza kusambaza habari kwamba unamtaka ila yeye hakutaki.Usithubutu kumkopesha mwanamke/msichana, labda kama umeamua kutoa sadaka,maana hata akiweka dhamana kitu bado anaweza kukugeuzia kibao na jamii haitokuelewa hata kidogo.Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!
Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsApp...!
_Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama ana akili nzuri._
--
_*Kisha nikaituma ile message*_
Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yake... Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.
*Akatuma message akiniuliza...*
_Hao wanawake unawajuwa, ...mume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweli...!_
Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaa...!
Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaa...! Akaniandikia message nyingine....
*...Nakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupe... Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuri...!*
Nami nikamjibu...
_Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipo...!_
Baada ya dakika 2 message ikaingia, kuangalia balance yangu ya Mpesa, nikakuta kaingiza pesa zangu zote ninazo mdai...!
Nikazima simu nikajilalia zangu kimyaaa.... Kama sio mie!
Tupe na mbinu ya kulitoa taifa lenye utajiri wa madini na rasilimali kwenye umasikini, umetisha mkuuπππKuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!
Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsApp...!
_Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama ana akili nzuri._
--
_*Kisha nikaituma ile message*_
Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yake... Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.
*Akatuma message akiniuliza...*
_Hao wanawake unawajuwa, ...mume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweli...!_
Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaa...!
Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaa...! Akaniandikia message nyingine....
*...Nakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupe... Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuri...!*
Nami nikamjibu...
_Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipo...!_
Baada ya dakika 2 message ikaingia, kuangalia balance yangu ya Mpesa, nikakuta kaingiza pesa zangu zote ninazo mdai...!
Nikazima simu nikajilalia zangu kimyaaa.... Kama sio mie!
hahahah mkuu nikitoa mbinu huko watasema mi mchocheziTupe na mbinu ya kulitoa taifa lenye utajiri wa madini na rasilimali kwenye umasikini, umetisha mkuuπππ
Hii sio wasap mkuuHiki kichekesho kimeshazunguka sana whatsApp
absolute fact mkuuKwa nini wanawake wanakuwa hivyo? Nilikuwa sijui ila juzi juzi nimeelewa hadi namuonea huruma mdada wa watu anavyohangaika na deni. Nimefunga rasmi zoezi la kukopesha mwanamke nikiwa na fursa kidogo nitamsaidia tu. Kukopesha mwiko, Maana majaribio yangu kama matatu ya kukopesha yameishia madeni ya kudumu kama la taifa (samahani sichochei mtu)
Vpi nae kaolewa kwan mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu umetisha ngoja na mimi nikamfanyie yule mdada ninae mdai ni miezi miwili sasa imepita sasa leo lazima anipe.
DaaaaahKuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!
Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsApp...!
_Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama ana akili nzuri._
--
_*Kisha nikaituma ile message*_
Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yake... Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.
*Akatuma message akiniuliza...*
_Hao wanawake unawajuwa, ...mume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweli...!_
Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaa...!
Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaa...! Akaniandikia message nyingine....
*...Nakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupe... Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuri...!*
Nami nikamjibu...
_Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipo...!_
Baada ya dakika 2 message ikaingia, kuangalia balance yangu ya Mpesa, nikakuta kaingiza pesa zangu zote ninazo mdai...!
Nikazima simu nikajilalia zangu kimyaaa.... Kama sio mie!
Alisha lipa mkuu hii njia ni nzuri itumieni mimi alinilipa siku hiyo hiyo saa 20:09 ndo niliona M-Pesa sms ila hajolewa ana mshkaji wake waga anakula mzigo.Vpi nae kaolewa kwan mkuu
Ni kuacha kupenda sana chama kimoja Mkuu !!Tupe na mbinu ya kulitoa taifa lenye utajiri wa madini na rasilimali kwenye umasikini, umetisha mkuuπππ
Hii ndio ubunifu unaotakiwa. Vinginevyo pesa yako ungeisikia hewani jombaa!Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!
Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsApp...!
Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama ana akili nzuri.
--
Kisha nikaituma ile message
Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yake... Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.
Akatuma message akiniuliza...
Hao wanawake unawajuwa, ...mume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweli...!
Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaa...!
Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaa...! Akaniandikia message nyingine....
...Nakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupe... Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuri...!
Nami nikamjibu...
Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipo...!