Wadau, hii tabia ya mwanaume kumkagua mpenzi wake kunako nyeti ili kujua kama siku hiyo ame-cheat imekaaje? Yaani kila akirudi kutoka kazini mwendo ni 'haya..panda mezani.. Lete tochi..ehee.. Nyanyua kidogo..ewaa!' haya ni mapenzi..? Wivu uliopitiliza..? Kukosa uaminifu..? Nini?
kwa nini usikakuguliwe kama una chembe ya umalaya nampa pongezi sana kwa kufanya hivyo siyo wivu ni haki yake samekuoa na amekununua kwa hela au ng'ombe au labda mulioana kwa bure
Huu ni ulimbukeni wa hali
ya juu! kama unampenda mtu kwa dhati bila shaka utamuamini na kumthamini
kwa vyovyote! Palipo na upendo na imani ni ngumu kusalitiana.
umejuaje?
Wadau, hii tabia ya mwanaume kumkagua mpenzi wake kunako nyeti ili kujua kama siku hiyo ame-cheat imekaaje? Yaani kila akirudi kutoka kazini mwendo ni 'haya..panda mezani.. Lete tochi..ehee.. Nyanyua kidogo..ewaa!' haya ni mapenzi..? Wivu uliopitiliza..? Kukosa uaminifu..? Nini?
umejuaje?
Wadau, hii tabia ya mwanaume kumkagua mpenzi wake kunako nyeti ili kujua kama siku hiyo ame-cheat imekaaje? Yaani kila akirudi kutoka kazini mwendo ni 'haya..panda mezani.. Lete tochi..ehee.. Nyanyua kidogo..ewaa!' haya ni mapenzi..? Wivu uliopitiliza..? Kukosa uaminifu..? Nini?
Machizi wawili wamekutana. Na yeye mwanaume akirudi anamkagua ama?