Kumjali mpenzi wako kwa fedha kunaweza kuepukika kuchepuka?

Mwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Wanawake hawa hawa. Wa bongo dalisalama au?
 
Kwa mwanamme kukaa na kuanza kuwaza kuwa mke wake anachepuka/atachepuka ni ulofa,tafuta pesa,ni ngumu sana kumwelewa mwanamke unataka nini,kuna watu walishaonesha upendo wa dhati kwa wake zao mwisho wa siku walisalitiwa,huwezi kumwelewa mwanamke.kikubwa tafuta pesa ,akichepuka fukuza oa mwingine

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Duuuuh kmmk hii safi
 
Hivi umewahi kuishi na mwanamke anae lalamika mala kwa mala hujampa pesa fulani ??

Aisee unaweza pAkimbia kwako na kulala bar
Tatizo letu wanaume siyo wakwel tunatakiwa tuwe wakwel mwanamke akujue kiuchumi
 
Back
Top Bottom