Kumjali mpenzi wako kwa fedha kunaweza kuepukika kuchepuka?

Aisee kiukweli hata mimi.
swala la kuachana na mwanamke kisa pesa na mimi nimuhanga wa hilo.

Ukiwa na salary ya 300k hivi bado kuishi na baadhi ya wanawake ni ngumu sana.

Isiwe tabu tuendelee kuishi kivyetu tu, na wapenz fake, kuowa isubir kwanza.

Now nmesema lazima 250k piga uwa lazima ibaki kama faida kwa mwezi
Before nme ji drain sana yan
Ila hawa watu mungu atusaidie sana
 
Njia tano za kumfanya mwanamke asikuache "According to the late cowbama ,Ngwair"

1) Mpe hela

2) Mpe hela

3) We Mpe hela

4) Nakwambia mpe hela

5) Mpe hela utaona tuu
 
Mwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Kaka...umenena kabisaaaa.....
Unatumia kinywaji gani Tafadhali?
 
Mwanamke hataacha kuchepuka kwa sababu ya kujazwa mihela bali ataacha kuchepuka kwa sababu ya kupendwa kwa usahihi.Mimi huwa naamini kama mwanaume atampenda mwanamke kwa usahihi basi huyo mwanamke hatachepuka.Udhaifu wa mwanamke upo kwenye kupendwa.
Mwanamke wa karne ya 21 anatambuaje kuwa unampenda bila kumjaza mapesa mkuu???
 
Nimewaza kitu leo
Na nkaapia kua hiki kichwa kwa sasa kifikilie kijenga maendeleo yangu tu
Nmekuja kitambua hakuna kiumbe ambae hajieleww kama baadhi ya wadada aise!
Hata mwanamke akiwa hajielewi kiasi gani wewe fanya maendeleo huko nyumbani. Kwaiyo wewe ukigombana na mwanamke hutojenga nyumba kwa sababu mwanamke amekuwa hajielewi?
Kumbuka jamii haitakuelewa ukijitetea hivyo.
Fanya maendeleo mkuu Maisha ni ya kwako na Watoto wako .
 
Hujanielewa mkuu
 
Mwanamke ni kwa mwanaume

Km mwanaume halei

Mwanamke atajilea

Kuu tu usitake kujua anajileaje.
 
Wadau wana Jf.......

Hivi ni sawa kwa mwanaume kupambana na hata kukopa fedha ili kutatua changamoto ya kifedha ya mpenzi wake ili asije akaomba kwingine huko nao wakataka rushwa ya ngono?

Hiki ni kisa mwanamke kasafiri katokea mikoa ya kaskazini kaenda Dar kwa issue ya kumsalimia Mgonjwa( mama yake) makubaliano na Me wake ni Akae siku mbili arudi matokeo yake amekaa siku nne

Mwanaume akawa anafosi arudi!
Wakakubaliana tena Atarudi mwanamke akapanga siku inayofuata.
Mwanaume akatuma Nauli ya kurudi kumbuka nauli ya kwenda pamoja na Mambo mengine alimpatia 50, 000 ,

Akamtumia nauli kesho yake mwanaume kuuliza umeshapanda gari aka delay kujibu meseji akajakujibu jana usiku alikuwa akiangalia Bongo star search
Amechelewa kuamka.

Mwanaume akamjibu sawa, alichokifanya aliingia kwenye Menyu ya Mpesa na kurudisha Mwamala!!

Mwanamume akamtext:

"Naona nakusumbua Mapenzi yetu yatukuwa Magumu sana".

Akamwambia sawa anashukuru.
Jana mwanamke anauliza " Hiyo nauli unatuma au"

Mwanaume amekaa kimya je Huyu Mwanaume yupo sawa atume arudi au amlie Ganzi mazima?
Dah huu ni uongo wa hatati kurejesha muala ni saa zaidi ya 24 huyo mwanamke angekuwa kaulisha zitumia
 
Back
Top Bottom