Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

usafiri wetu wa umma ni wa tabu hence... tungekua na usafiri mzuri sidhani kama watu wangehangaika na magari used
 
mbona huku south africa kuna viwanda vya magari lakini used,yanauzwa? sema labda hukufahamu
 
Dah! Ki ukweli mtoa mada unachembe za kua unavuta ugoro.

Unajua bei ya gari mpya? Unajua kipato cha watanzania? Used car ukipanda ufiki unapo enda? Umekurupuka

Asilimia kubwa ya watu Duniani wanatumia used car mbaya wewe pia unapanda used car au unaendesha used car hua zinakuletea ugonjwa wa moyo ukipanda?
 
Best safi sana endelea kutupaka maana Mimi funguo Huwa naning'iniza kidole cha mwisho ili heshima ipatikane
 

Duh
 
Mleta mada nnaamini yafuatayo toka kwake
1:99%atakuwa mtoto wa mchawi
Maana ubaya wa roho wa namna hii juu ya Mali za wengine si wa kawaida,
2:atakuwa ni mtu mwenye maisha ya zama za mawe maana hajui ananunua gari ili iweje ndo maana anakandia magari used kana kwamba hayawezi kumsaidia mtu kurahisisha safari zake,
3:Mzee wa sizitaki mbichi hizi,
Wahenga wenzangu wanajua hii hadithi,jamaa atakuwa karukaruka na kashindwa kufikia sasa anaamua kutoa umivu lake kwa kudharau,naamini hata yy anachokitu used,km siyo gari ni nguo,ama vyombo ama redio TV au hata kiungo cha siri cha mwenza wake ni used,

NB:mwerevu huangalia aishi vipi awe na kipi maana maisha ni yake
Mpumbavu hushughulika na maisha ya watu na kuwapangia watu waishije
 
Absolutely
 
Hapo wanaotetea kumiliki Toyota used ndio wanaokuja kukandia kumiliki tecno.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…