Tupo pamojaGari ni sawa na mke linahitaji matunzo. Kwaio kama unaona haupo teari financially usinunue unless ni la biashara.
Kulingana na finances zako ila ni vyema mtu ukawa na asset kwanza kama nyumba, biashara, kazi ya kueleweka kwanza ndio uje kununua gari.
Ukianza kununua gari na maisha bado una unga uga aisee hautopiga maendeleo , na ubaya impression ya wa Tanzania wengi ni kwamba ukiwa na gari inamaana una hela kwaio yani maisha lazima yakunyooshe, ukipata kimwanamke chako kinataka pesa maana anaamini kama una gari basi ukigoma kumpa hela inamaana unahonga kwengine, safari na washkaji zitaongezeka especially za bata, marafiki kugongea gari lako na wakirudi kuna kitu kaharibu ni shidaa
Jijenge kwanza ndio ununue gari
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapana mzee mm kwenye kuwatafuna ni long time bila hata kuwa na maisha yangu....Kama umewahi pitia nyuzi zangu utakua umenielewa .Nahisi mkuu umekuja kugundua kwa njia ngumu sana kuwa mipango si matumizi.
Itakuwa ulichukua kimkopo chako kuvuta ndinga ukiwa na imani utawatafuna balaa, kuja kutahamaki upo mwenyewe kila safari.
🤣🤣🤣🤣[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapana mzee mm kwenye kuwatafuna ni long time bila hata kuwa na maisha yangu....Kama umewahi pitia nyuzi zangu utakua umenielewa .
Ila unacho zungumza ni Kama una uzoefu nacho
[emoji16][emoji16] inatakiwa Hadi unamiliki gari uwe na sababu za kutoshaSisi wenye terrios kids hatuna hizo stress mnazozipata nyinyi wenye ma landcruiser, parking hua hatupati shida kabisa ukiona kaupenyo kidogo unaichomeka tu, ukija kwenye mafuta ndio kabisaaa hatuna tofauti na wanaomiliki bodaboda, kakizingua njiani hata ukiwa peke yako una uwezo wa kukisukuma mwenyewe au kukatia kwenye mkokoteni ukaenda nacho nyumbani.
Spear zipo za kutosha na sio ghali kiviiiile haziumizi kichwa.
Labda hapo kwenye mademu wale wa kuokota hovyohovyo kwenye madaladala ndio inaweza kua ni changamoto.
Jidanganye sasa[emoji4]Nakataa hii
hahahaha, umeniwahiMtakao kuja na hoja ya tafuta pesa mje mniaambie nitafute kiasi gani.
MsalimieJidanganye sasa[emoji4]
Mimi mchepuko Wang nilimpata kwasababu ya kumpa lift msimu wa mvua[emoji4]
Nunua gari lenye hali nzuri, utakaa 4...6yrs bila usumbufu wa kijinga, them uza nunua lingine maisha yanaenda.Magar yanakera ma.maee
Eti gari la kukubeba wewe tu na kujisukuma lenyew mara linachemsha mara sjui linakuwa zito ma.maee
Unalitengeneza kwa gharama,hata mwez halimaliz linazingua tena mpaka mke anaanza kuuliza,vp baba hili gari si umetoa hela nying tu mwez uliopita na ukasema sahv limepona kulikon tena.
Familia unaibadilishia msosi wanaanza kula chakula cha kawaida,gari linaharibu bajet ya msosi mpaka watoto wanaanza kususa msosi
Ili majiran wasijue una miliki mkweche,likizingua unaamua kuwa unalivuta asubuh na mapema usiku usiku unalipeleka gereji
Hakika gari usinunue kama una hela za mawazo,ni hv kama kipato chako kipo chini ya mil 1 kwa mwez usinunue gari
Ukitaka mademu..mbona simpo tu unapanda daladala hata siku tatu unakusanya namba kisha unaanza kuwazungukia na kigari chako.Sisi wenye terrios kids hatuna hizo stress mnazozipata nyinyi wenye ma landcruiser, parking hua hatupati shida kabisa ukiona kaupenyo kidogo unaichomeka tu, ukija kwenye mafuta ndio kabisaaa hatuna tofauti na wanaomiliki bodaboda, kakizingua njiani hata ukiwa peke yako una uwezo wa kukisukuma mwenyewe au kukatia kwenye mkokoteni ukaenda nacho nyumbani.
Spear zipo za kutosha na sio ghali kiviiiile haziumizi kichwa.
Labda hapo kwenye mademu wale wa kuokota hovyohovyo kwenye madaladala ndio inaweza kua ni changamoto.