Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
including Tanzania..Only in some African countries
Definitelyincluding Tanzania..
[emoji23] yani ukiwa na gari unakua tegemezihyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
Acha kutuvunjia heshima sisi tunao tumia toyoGari bhana.
Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.
Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.
Gari ni kama shetani fulani.
Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
[emoji23] yani ukiwa na gari unakua tegemezi
Gari ina umuhimu mno hata mtu akiugua home au jirani watakuamsha
Kweli mzee mwenzangu,kale kapasso usikauze hata kwa dawa'
[emoji23] yani ukiwa na gari unakua tegemezi
Gari ina umuhimu mno hata mtu akiugua home au jirani watakuamsha
Uandishi wako sio mzuri.hyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
Kweli mzee mwenzangu,kale kapasso usikauze hata kwa dawa'
Aisee,hongera sana[emoji122] [emoji122]Kaka nishakauza, navuta premio new model hivi karibuni
bora ungewaambia mbovu sababu zingine kuzielewa mpaka uwe mfuasi wa ccm.hyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
HahahahaaahahaAisee,hongera sana[emoji122] [emoji122]
bora ungewaambia mbovu sababu zingine kuzielewa mpaka uwe mfuasi wa ccm.
mimi nkitaka kwenda kukopa gesi ama sukari dukani kwa mangi naendaga na gari yaani hachomoi kirahisi. gari sometimes inaongeza heshma ata bar husumbuliwi sumbuliwi kulipa Bill