Job anapanga kamati, kuhamisha kamati hawezi hama na uenyekiti. Hoja ilikuwa kumvua uenyekiti na kama lingefanywa na wanakamati ingeleta athali kwa CCM, wakaona ahamishwe kamati.Kwani Spika ana madaraka kuchagua mwenyekiti wa Kamati?
Mwenyekiti wa Kamati anachaguliwa na wajumbe siyo Job