Kumfanya msichana atake kurudiana na wewe

Kumfanya msichana atake kurudiana na wewe

Wanaume wengi baada ya kuachana na mschana wake anadhani ni vema sana kumpigiapigia simu kila mara ili kujaribu kumshawishi arudi kwako.jua kuwa duniani apa vi2 vyote ukivitafta saaana kwa nguvu zoote utavipata lkn c mwanamke maake kadri unavyoonesha kumtafta saana nae anajipa kichwa na kuona kuwa value yake iko juuu zaidi yako na pia kuona kuwa we sio saiz yake.kumbuka ye kuachana na wewe sio jambo aliotafakali kwa siku moja bali lilikuwa ni jambo lililokaa kichwan kwake kwa siku nenda rudi,usikurupuke maana ukikurupuka utawaongezea chance ya kupendana zaidi na kukuponda,mwanamke katika mahusiano upoteza radha ya mahusiano kutokana na vi2 mbalimbali ambavyo ni

>ulipoteza mvuto kwake;yaani atraction kwake ilipotea.na hii hujengeka kwa tabia za ajabajab ambazo wasichana hawapendi na pia kubadirika na kukuzoea ambavyo huwa hupoteza mvuto naturally

>kutokumtimilizia haki yake kitandani

>kuonesha wivu wa kupitiliza ambayo huaribu mahusiano
Na vingine vingi sana

Sasa jinsi ya kumfanya atake kurudiana na wewe
1:KATA MAWASILIANO NAE(3-5)weeks
Katika hii stage unaweza kumtumia message moja tam sana na yenye uchungu sana af ukaianza.apa ni akuna kumpigia wala kumjibu message ata ikiwezekana ata asikuone..kama ni habar zako azisikie2 kwa wengine na ziwe zinaonesha a happy you,mfano anaambiwa wamekuona uko na waschana mnafurahi na atakama ukimuona mpotezee kama akuna ki2.na sio unapishana nae kwa sura ya kuumia bali sura ya kawaida kama hamna ki2
Hii itamjengea picha ya kukuitaji zaidi na kukumbuka mazuri yako2 na sio mabaya,na apo ndo ataanza kuangaika na kukukumbuka na ndo attraction itajengeka kwake
Katika hii stage utapata vishawishi vingi sana vya kumtafuta ili uongee nae lkn viache maake havitakusaidia chochote bali kukuharibia2 zaid na zaid.huu ni mda wa kufocus kujitengeneza a happy yuu na kutokumjari..mfano mzri naona ni kwa Diamond & Wema

2:ANZISHA URAFIKI
Katika hii stage unaanza kumtumia message moja2,mfano (hey its your birthday,,,au nimepita sehem tulioonana mara ya kwanza nikashindwa kujizuia kukupa helwz,,au nimemuona mdogo wako nikakukumbuka)
Hii huanzisha urafiki ambao utadumu kwa mda mfupi kwa kuwa kila ukiongea nae mnakumbushia enzi zenu
Ni apa ndo patamfanya akumbuke saaana kuhusu mlivyokuwa mapenzni na itamfanya atake mrudiane..hii ni tu baada yabkuona yeye anakutafta mara kwa mara kwenye simu..kama sivyo..soo sory my friend

3:MWAMBIE MRUDIANE
Apa ni kuwa umwambie hivi kama unauakika kuwa utamtunza na kumlinda na kuacha mambo yako ya kijingakijinga

MUONGOZO
HI inaaply kwa mschana alie kupenda na mkaishi katika mapenzi mazito yaliozidi miezi sita (hakikisha nae alikuwa anakupendanda sana)
Af hii inaaply kwa mtu alie chini ya miaka 36 na ambae ajahaidiwa kuolewa

Nimeipenda sana hii ninaye mtu wangu anastahiki kufanyiwa hii kitu., wacha nione lakin je kama nikimpotezea kwa wiki 3 ama 5 na kama hatarudi tena je milele itakuwaje?
 
Nimeipenda sana hii ninaye mtu wangu anastahiki kufanyiwa hii kitu., wacha nione lakin je kama nikimpotezea kwa wiki 3 ama 5 na kama hatarudi tena je milele itakuwaje?
Ukifanya hvyo kuna chance kubwa ya kumpata kuliko ukawa unabembeleza kila saa
Sema kama sabab ilikuwa ni wewe apo hii aikufai
 
Jidanganyeni tu ila mfikirie kuwa wote tunafanana tu.
Hisia
Akili
Michepuko
Kuumizana
Viko pande zote.

Hivi sijatoka nje ya mada? Maana mmh..
 
Samahani mleta mada ila hizi drama zimekaa kichuo chuo hivi na labda unaweza kumfanyia mwanamke aliye desparate, ila ukikuta kaamua ku move on utachora chini kwa drama hizi.

Kama wewe ni mwanaume na sio mvulana huwa hatusubiri mwanamke afikie verdict ya kukuacha. Tunasolve problems to keep them. Wavulana ndio hawajuagi hasara ya separation
 
mbona siku ni nyingi sana hizo em tupige hesabu kidogo kwa wiki tukikutana mara 3 zidisha kwa sita ni 18 na kila tukikutana ni bao 3 tukizdisha 3 mara 18 ni 54 sasa nasubiria nini chaziada em sema mwenyewe
Wakati ukipiga hizo zako 54 yeye atapiga ngapi? Hebu tujumlishe tupate jibu.

Halafu inamaana hamtalala hata siku moja nzima, hapo si utapiga kama 5-7? Hebu tuwekee jumla kuu.
 
Nimeipenda sana hii ninaye mtu wangu anastahiki kufanyiwa hii kitu., wacha nione lakin je kama nikimpotezea kwa wiki 3 ama 5 na kama hatarudi tena je milele itakuwaje?
Mimi ilishawahi nitokea. Zamani ilikuwa tukitibuana nambembeleza sana. Nikajifunza ananichukulia poa sana siwezi Bila yeye. Siku akaingia kwenye kumi na nane zangu. Nikamfungia vioo. Akawa anawaambia rafiki zake kuwa jamaa hapindui kwangu anakuja tu kuomba yaishe. Nikawa ndo nazidi pata hasira. Sikumtext wala kumpigia simu miezi miwili. Yeye mwenyewe aliomba poo. Alikuja Kawa mdogo kweli anaomba nimsamehe nisimwache. Watoto wa kike sometimes wanaudhi sana.
 
Kaka akiondoka mpenzi fanya kazi kwa bidii tafuta pesa then anza kumjazia vocha ktk simu yake!Uchawi wa kizungu huo

Ukifanya hivyo asipokurudia njoo hapa tutachanga tutakurudishia gharama zako!100% ataruso
 
Nimeipenda sana hii ninaye mtu wangu anastahiki kufanyiwa hii kitu., wacha nione lakin je kama nikimpotezea kwa wiki 3 ama 5 na kama hatarudi tena je milele itakuwaje?

Achana na hizo story..wewe kwanza kuwa bize na kutafuta pesa thn mnunulie zawadi nyingi zile anazopenda...na umpe pesa nyingi, kila wiki hakikisha unamtumia hela za kutosha..Hapo hawezi chomoa
 
Mhhh naona kuna watu watafanyia majaribio hii kitu tunawatakia Heri na fanaka mfanikiwe.
 
Is there any other alternative ya kutongoza mkali zaidi yake?
 
Achana na hizo story..wewe kwanza kuwa bize na kutafuta pesa thn mnunulie zawadi nyingi zile anazopenda...na umpe pesa nyingi, kila wiki hakikisha unamtumia hela za kutosha..Hapo hawezi chomoa

dah mkuu ataniua kwa staili hiyo, bora nisamehe mimi mwenyewe namtegemea yeye anipe mahela na mazawadi
 
Mimi ilishawahi nitokea. Zamani ilikuwa tukitibuana nambembeleza sana. Nikajifunza ananichukulia poa sana siwezi Bila yeye. Siku akaingia kwenye kumi na nane zangu. Nikamfungia vioo. Akawa anawaambia rafiki zake kuwa jamaa hapindui kwangu anakuja tu kuomba yaishe. Nikawa ndo nazidi pata hasira. Sikumtext wala kumpigia simu miezi miwili. Yeye mwenyewe aliomba poo. Alikuja Kawa mdogo kweli anaomba nimsamehe nisimwache. Watoto wa kike sometimes wanaudhi sana.

good, wacha nitumie dawa hii na mimi nishachoka kubembeleza, anajifanya yupo bizz ukimtumia sms atajibu herufi 2 au 3 tu., then hataki kujua chochote kuhs ww wacha nikae kimya leo ya 3 tokea nianze kuwa kimya.
 
Ukitaka uishi vyema ni kuish bila majuto. Akisema its over usimjibu chochote na haina kurud nyuma kama piki piki, wewe ni kusonga mbele tu ingawa inauma. Ukileta habar za kupiga simu mara sijui mesej, mtu anakuwa bado anakuchora kwa jicho tu.
 
Back
Top Bottom