lavian
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 722
- 329
Wanaume wengi baada ya kuachana na mschana wake anadhani ni vema sana kumpigiapigia simu kila mara ili kujaribu kumshawishi arudi kwako.jua kuwa duniani apa vi2 vyote ukivitafta saaana kwa nguvu zoote utavipata lkn c mwanamke maake kadri unavyoonesha kumtafta saana nae anajipa kichwa na kuona kuwa value yake iko juuu zaidi yako na pia kuona kuwa we sio saiz yake.kumbuka ye kuachana na wewe sio jambo aliotafakali kwa siku moja bali lilikuwa ni jambo lililokaa kichwan kwake kwa siku nenda rudi,usikurupuke maana ukikurupuka utawaongezea chance ya kupendana zaidi na kukuponda,mwanamke katika mahusiano upoteza radha ya mahusiano kutokana na vi2 mbalimbali ambavyo ni
>ulipoteza mvuto kwake;yaani atraction kwake ilipotea.na hii hujengeka kwa tabia za ajabajab ambazo wasichana hawapendi na pia kubadirika na kukuzoea ambavyo huwa hupoteza mvuto naturally
>kutokumtimilizia haki yake kitandani
>kuonesha wivu wa kupitiliza ambayo huaribu mahusiano
Na vingine vingi sana
Sasa jinsi ya kumfanya atake kurudiana na wewe
1:KATA MAWASILIANO NAE(3-5)weeks
Katika hii stage unaweza kumtumia message moja tam sana na yenye uchungu sana af ukaianza.apa ni akuna kumpigia wala kumjibu message ata ikiwezekana ata asikuone..kama ni habar zako azisikie2 kwa wengine na ziwe zinaonesha a happy you,mfano anaambiwa wamekuona uko na waschana mnafurahi na atakama ukimuona mpotezee kama akuna ki2.na sio unapishana nae kwa sura ya kuumia bali sura ya kawaida kama hamna ki2
Hii itamjengea picha ya kukuitaji zaidi na kukumbuka mazuri yako2 na sio mabaya,na apo ndo ataanza kuangaika na kukukumbuka na ndo attraction itajengeka kwake
Katika hii stage utapata vishawishi vingi sana vya kumtafuta ili uongee nae lkn viache maake havitakusaidia chochote bali kukuharibia2 zaid na zaid.huu ni mda wa kufocus kujitengeneza a happy yuu na kutokumjari..mfano mzri naona ni kwa Diamond & Wema
2:ANZISHA URAFIKI
Katika hii stage unaanza kumtumia message moja2,mfano (hey its your birthday,,,au nimepita sehem tulioonana mara ya kwanza nikashindwa kujizuia kukupa helwz,,au nimemuona mdogo wako nikakukumbuka)
Hii huanzisha urafiki ambao utadumu kwa mda mfupi kwa kuwa kila ukiongea nae mnakumbushia enzi zenu
Ni apa ndo patamfanya akumbuke saaana kuhusu mlivyokuwa mapenzni na itamfanya atake mrudiane..hii ni tu baada yabkuona yeye anakutafta mara kwa mara kwenye simu..kama sivyo..soo sory my friend
3:MWAMBIE MRUDIANE
Apa ni kuwa umwambie hivi kama unauakika kuwa utamtunza na kumlinda na kuacha mambo yako ya kijingakijinga
MUONGOZO
HI inaaply kwa mschana alie kupenda na mkaishi katika mapenzi mazito yaliozidi miezi sita (hakikisha nae alikuwa anakupendanda sana)
Af hii inaaply kwa mtu alie chini ya miaka 36 na ambae ajahaidiwa kuolewa