Tatizo ni matajiri wacheza kamari ndo wanasababisha yote haya....watu wanabet mzigo wa maana na sio buku mbili mbili.Ni game fixing tu. Mwenyewe djonkovic anadai aliwahi kutamanishwa £110k ili wapange matokeo. Kwa kifupi game fixing c kwenye soka tu. Mpaka huku kwenye michezo mingine.