Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,716
- 218,263
ELIMU yako ndogo hata kuelewa hilo jambo.Hao majaji wanateuliwa Na serikali gani?
ELIMU yako ndogo hata kuelewa hilo jambo.
swissme
katika watu wanao ongoza kwa upopoma we unaongozaELIMU yako ndogo hata kuelewa hilo jambo.
swissme
katika watu wanao ongoza kwa upopoma we unaongoza
Wapo majaji wazalendo na wenye kujua wajibu wao , hawaburuzwi na mtu mdogo kama Salum Msangi .Hao majaji wanateuliwa Na serikali gani?
Toka ndani ya chungu kijana .Kipindi kile mlivyoambiwa muipeleke tume ya uchaguzi mahakamani kuhusiana na kufutwa uchaguzi mlisema mahakama haiaminiki leo hii mnaenda kuitumia mahakama hiyo hiyo....UKIWA MWONGO USIWE MSAHAULIFU
Unawafuata wazee wa Ulipo tupo?Hapa nilipo nimevaa gwanda kali sana najiandaa kwenda dodoma na ndege ya jioni .
Kitabu gani kimeandika kwamba majaji waibebe ccm ?Hao majaji wanateuliwa Na serikali gani?
Hiyo ndio nini ?Unawafuata wazee wa Ulipo tupo?
Great thinker...think!Hiyo ndio nini ?
Majaji wazalendo bado hawajaisha mkuu .Kesi ya mbuzi amekabidhiwa fisi duh masikini Tanzania
hao majaji wazalendo waliteuliwa na nani?Majaji wazalendo bado hawajaisha mkuu .
Matokeo yakiwa tofauti uje "uwasifie" hao wazalendo wenye kujua wajibu wao"Wapo majaji wazalendo na wenye kujua wajibu wao , hawaburuzwi na mtu mdogo kama Salum Msangi .