Kumekucha Zanzibar ! CUF kumburuza mahakamani kigogo wa polisi Salum Msangi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,441
215,222
Kesi inafunguliwa leo hii katika mahakama kuu ya vuga.

Ikumbumbukwe kwamba Salum Msangi ni Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya jinai Zanzibar na atuhumiwa kuwahifadhi wanachama wa CUF waliokamatwa pemba kwa zaidi ya wiki 2 bila kuwafungulia mashtaka.

Chanzo - Nipashe

Nachukua nafasi hii kukipongeza kwa dhati chama cha CUF kwa uamuzi huu , bila shaka majaji wazalendo bado wapo , na nawaahidi ushirikiano wa kutosha kutoka UKAWA nchi nzima .

Mungu ibariki CUF.
 
Kipindi kile mlivyoambiwa muipeleke tume ya uchaguzi mahakamani kuhusiana na kufutwa uchaguzi mlisema mahakama haiaminiki leo hii mnaenda kuitumia mahakama hiyo hiyo....UKIWA MWONGO USIWE MSAHAULIFU
 
CUF wameanza kuitambua serikali iliyopo madarakani?? naskia ukawa walishitaki kwenye mahakama ya ICJ
 
Kipindi kile mlivyoambiwa muipeleke tume ya uchaguzi mahakamani kuhusiana na kufutwa uchaguzi mlisema mahakama haiaminiki leo hii mnaenda kuitumia mahakama hiyo hiyo....UKIWA MWONGO USIWE MSAHAULIFU
Toka ndani ya chungu kijana .
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom