Kumekucha Zanzibar ! CUF kumburuza mahakamani kigogo wa polisi Salum Msangi

Kesi inafunguliwa leo hii katika mahakama kuu ya vuga.

Ikumbumbukwe kwamba Salum Msangi ni Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya jinai Zanzibar na atuhumiwa kuwahifadhi wanachama wa CUF waliokamatwa pemba kwa zaidi ya wiki 2 bila kuwafungulia mashtaka.

Chanzo - Nipashe

Nachukua nafasi hii kukipongeza kwa dhati chama cha CUF kwa uamuzi huu , bila shaka majaji wazalendo bado wapo , na nawaahidi ushirikiano wa kutosha kutoka UKAWA nchi nzima .

Mungu ibariki CUF.
Wanapoteza muda
 
Back
Top Bottom