Inafuata Nzega.
Hussein Bashe ametoa "fatwa" bungeni:
Kama alivyosema Heche jana, na mimi nataka niseme leo, Resolute ameondoka na fedha za Halmashauri ya Nzega 10 billion Tsh za Service Levy. Lakini jambo la kusikitisha serikali imewapa kampuni tanzu ya Resolute leseni ya kupewa maeneo ndani ya jimbo la Nzega.
WALAAHI, WA BILLAHI, WA TALAAHI, kama hamtafuta leseni ya kampuni ya Mwabangu Miners mimi nitaongoza wananchi, I will not care the outcome.
Msiponijibu, Mheshimiwa Kalimani, kile chuo mlichofungua cha madini naenda kuwaambiwa wananchi wagawane yale mabati.