Hiyo Bwerere iko wapi sasa hapo?
Hivi lengo la kutaka kujua namba za mawasiliano ya watu ni nini ukilitafakari kwa undani?
Ni kuweka mambo sawa mkuu.Raisi ka struggle kawatafutia soko kubwa.Je wao TTCL wamejiandaa vipi KU meet demand za Hilo soko kubwa ambalo wamepewa ?Hahaha! hata wewe leo unauliza? Yehoyada kabisa? Fanya faster ukanunue laini ya TTCL ebo!!
Kwa mfano mimi ninayo line ya TTCL ila vocha nanunua kupitia Tigopesa. areafiftyone YEHODAYAManeno hayo yameanza.Bank charges analipa Nani za kununua hiyo vocha sababu ukinunua hard voucher hakuna bank charges.
Ukinunua Kuna charge tigo pesa wanakucharge au huchajiwi? Ndio issue hapa.Zile kadi za kukwangua hazina chaji .ukiweka vocha ya elfu moja Ni elfu moja Lakini ya kununua kwa mitandao mingine ya pesa au kupitia benki Kuna charge unachajiwa juu ya hiyo elfu moja.Kwa mfano mimi ninayo line ya TTCL ila vocha nanunua kupitia Tigopesa. areafiftyone YEHODAYA
Sawa kabisa, Yehoyadaya anaweza kufanya hivyo hivyo,ingawa anaweza pia kununua straight from his account ili kupunguza makato.Siku hizi kununuaKwa mfano mimi ninayo line ya TTCL ila vocha nanunua kupitia Tigopesa. areafiftyone YEHODAYA
Tigopesa hawachaji ukipiga ile menu yao wana option ya kununua vocha mitandao mingine ambapo kuna TTCL pamoja na smile.Ukinunua Kuna charge tigo pesa wanakucharge au huchajiwi? Ndio issue hapa.Zile kadi za kukwangua hazina chaji .ukiweka vocha ya elfu moja Ni elfu moja Lakini ya kununua kwa mitandao mingine ya pesa au kupitia benki Kuna charge unachajiwa juu ya hiyo elfu moja.
Yehoyadaya mimi nakubali unachajiwa.Lakini kwa mtu mwenye nia njema na nchi yake,kiwango ni kidogo.Ni hela ngapi unazotumia bila hata kujua jinsi ulivyozitumia.Nadhani kinachogomba hapa ni uzalendo.Ukinunua Kuna charge tigo pesa wanakucharge au huchajiwi? Ndio issue hapa.Zile kadi za kukwangua hazina chaji .ukiweka vocha ya elfu moja Ni elfu moja Lakini ya kununua kwa mitandao mingine ya pesa au kupitia benki Kuna charge unachajiwa juu ya hiyo elfu moja.
Hii unamwongezea gharama za maisha mfanyakazi alazimike kuwa na laini zaidi ya moja wakati mtu mwingine Hana mpango wa kuwa na laini mbili.Kwa hiyo unamfanya awe na laini moja ya kuweka pesa za kuhudumia line ya TTCL ambazo atakuwa akikatwa kila akinunua voucher!!! Kuwa ili uwe na Line ya TTCL utake usitake utatakiwa kuwa na line ya Tigopesa au Mpesa ya kumhudumia mwali TTCL hata Kama hutaki kuwa na line mbili!!!!! TTCL wajipange please.Kwa mfano mimi ninayo line ya TTCL ila vocha nanunua kupitia Tigopesa. areafiftyone YEHODAYA
Ununue laini ya ttcl... Wewe sio mzalendo eeeeh???Hii ishu nilijua itatufikia tu watumishi, labda watoe vocha bure nitaweza kujiunga nao
Huu ushauri inabidi waufanyie kazi na ndio changamoto unayoipata ukiwa na line ya TTCL.Hii unamwongezea gharama za maisha mfanyakazi alazimike kuwa na laini zaidi ya moja wakati mtu mwingine Hana mpango wa kuwa na laini mbili.Kwa hiyo unamfanya awe na laini moja ya kuweka pesa za kuhudumia line ya TTCL ambazo atakuwa akikatwa kila akinunua voucher!!! Kuwa ili uwe na Line ya TTCL utake usitake utatakiwa kuwa na line ya Tigopesa au Mpesa ya kumhudumia mwali TTCL hata Kama hutaki kuwa na line mbili!!!!! TTCL wajipange please.
Not peanuts my dear ,ingekuwa hivyo kila mtu angekubali kulipa tuKwa mzalendo na mtu anayeipenda nchi yake that is peanuts.
Nikwawale wanaopewa pesa ya voucher na mwajiri kama Serikali. Kama hupewi pesa ya voucher wewe haikuhusuSikuingilia uhuru wa mtu sasa?
Kwani nyongeza ya mshahara hutolewa kama matokeo ya kuiunga serikali mkono au hutolewa kama matokeo ya kazi unayoifanya pamoja na kupanda kwa gharama za maisha?!Hawa wafanyikazi mufilisi kabisa,kwanza kama wangekuwa wanajitambua kusingekuwa na haja hata ya kulazimishwa.Hii inaonyesha wazi kwamba in one way or the other they are aganst the government.Uko kinyume na serikali halafu bila aibu unaomba nyongeza ya mshahara!Aibu sana.
Ok mishahara na marupurupu iongezwe SI sahihi kupandisha cost za simu za kazi anazotumia mwajiriwa at the expense ya mfanyakazi.Uzalendo Ni two way traffic not one way.Huu mzigo wa charges za mwajiriwa kuwa na simu mbili ya Tigo pesa au Mpesa ili atumie kununua vocha za TTCL waajiri waubebe au TTCL ibebe vinginevyo TTCL ijipange ifikishe vocha kila Kona ya nchi na hizo huduma zake za TTCL pesa.Wasikwepe majukumu na kusukumizia waajiriwa wakatafute line za tigo pesa au mpesa ili waihudumie TTCL kwa charges at the expense of employee.No.Yehoyadaya mimi nakubali unachajiwa.Lakini kwa mtu mwenye nia njema na nchi yake,kiwango ni kidogo.Ni hela ngapi unazotumia bila hata kujua jinsi ulivyozitumia.Nadhani kinachogomba hapa ni uzalendo.
Mimi ndio maana niliuliza hili.Kama Ni kwa ajili ya hao Hilo Zoezi Sina tatizo .Nikwawale wanaopewa pesa ya voucher na mwajiri kama Serikali. Kama hupewi pesa ya voucher wewe haikuhusu
Ok TTCL hapo wana changamoto ya kuhakikisha vocha zao zinapatikana Hadi kwa shemeji yangu nyasa vijijini waliko mabwana shamba na mabibi shamba na watendaji wa vijiji na kata na walimu wa shule za msingi za porini waajiriwa wa serikali.Vocha za TTCL Ni changamoto.
Ni gharama na usumbufu mkubwa sana, TTCL wajipange sana.Vocha za Vodacom na tigo ziko kila mahali huhitaji tigo pesa au mpesa kununua ok kwa hiyo mfanyakazi wa porini anatakiwa Kuwa na line ya tigo pesa au mpesa ili anunue vocha ya TTCL sababu TTCl pesa hawana huduma hiyo. Ukinunua muda wa maongezi wa Vodacom Kama una line ya Vodacom hukatwi charge yeyote kwa hiyo mtu wa Mpesa akinunua TTCL vocha Vodacom hawatamchaji chochote mnunua vocha ya TTCL kupitia Mpesa? TTCL wameingia nao makubaliano kuwa agents wao?
Ni kweli zoezi halina shida kama mtu hataki kuwa na laini ya TTCL, ni kwamba asichukue pesa ya serikali kwa kununua voucher za mitandao mingine.Ukitaka financial independence, usipende pesa za bure pia.Mimi ndio maana niliuliza hili.Kama Ni kwa ajili ya hao Hilo Zoezi Sina tatizo .
Sawa, utakuwa unaniwekea vocha?Ununue laini ya ttcl... Wewe sio mzalendo eeeeh???
Huo upumbavu siwezi kuufanya hata siku moja.