Hii Ni kwa wafanyakazi wote wa umma au Ni kwa wale tu ambao hupewa simu na mwajiri na kuwekewa vocha au posho ya vocha za muda wa maongezi na mwajiri?Viwanda
Safi sana Siasa ya ujamaa na kujitegemea!
Wote mkuu!Hii Ni kwa wafanyakazi wote wa umma au Ni kwa wale tu ambao hupewa simu na mwajiri na kuwekewa vocha au posho ya vocha za muda wa maongezi na mwajiri?
OkWote mkuu!
Ok TTCL hapo wana changamoto ya kuhakikisha vocha zao zinapatikana Hadi kwa shemeji yangu nyasa vijijini waliko mabwana shamba na mabibi shamba na watendaji wa vijiji na kata na walimu wa shule za msingi za porini waajiriwa wa serikali.Vocha za TTCL Ni changamoto.Wote mkuu!
Wote mkuu!
Wote.Serikali haiwezi kukupa ajira halafu uwe kinyume nayo,ni wajibu wako kum-support mwajiri wako.Hii Ni kwa wafanyakazi wote wa umma au Ni kwa wale tu ambao hupewa simu na mwajiri na kuwekewa vocha au posho ya vocha za muda wa maongezi na mwajiri?
Zoezi hili la kuwasajiri wafanyakazi wote wa umma TTCL ni lazima lisimamiwe na TUCTA vinginevyo ni marufuku kudai nyongeza za mishahara!Hii Ni kwa wafanyakazi wote wa umma au Ni kwa wale tu ambao hupewa simu na mwajiri na kuwekewa vocha au posho ya vocha za muda wa maongezi na mwajiri?
Tukupe ajira halafu uwe kinyume nasi!Eti "kujiunga nao," wewe ni nani,sio mmoja wetu?Jitafakari.Hii ishu nilijua itatufikia tu watumishi, labda watoe vocha bure nitaweza kujiunga nao
Siwezi kuwa na line ya ttclTukupe ajira halafu uwe kinyume nasi!Eti "kujiunga nao," wewe ni nani,sio mmoja wetu?Jitafakari.
Haina shida TTCL imejiandaaje kupeleka vocha zake za muda wa maongezi kwa walimu wa shule za msingi mfano walioko maporini vijijini ambako hawajafika na hawana wakala.Vocha za TTCL dar es salaam tu ukitoka nje ya mji kuzipata shida.Haina tatizo wamefunguliwa soko je wamejiandaa kulimudu? Kwa usambazaji vocha na usajiri wa line hasa maeneo remote vijijini kuliko na wafanyakazi wa serikali?Wote.Serikali haiwezi kukupa ajira halafu uwe kinyume nayo,ni wajibu wako kum-support mwajiri wako.
Hawa wafanyikazi mufilisi kabisa,kwanza kama wangekuwa wanajitambua kusingekuwa na haja hata ya kulazimishwa.Hii inaonyesha wazi kwamba in one way or the other they are aganst the government.Uko kinyume na serikali halafu bila aibu unaomba nyongeza ya mshahara!Aibu sana.Zoezi hili la kuwasajiri wafanyakazi wote wa umma TTCL ni lazima lisimamiwe na TUCTA vinginevyo ni marufuku kudai nyongeza za mishahara!