Kwasababu aliyekuwa ana act ni mbabaishaji na hafai kuwa CAG. Alitumia sakata la Escrow kujikomba kwenye system badala ya kunyoosha mstari kama alivyokuwa boss wake aliyestaafu. CAG gani haju kama fedha ni za nani wakati huo fedha hizo zipo BOT? "eti zile fedha zinaweza kuwa za serikali ama sio za serikali. BOT inakaa fedha ya umma tu. Full stop. Huyu fara Kikwete kamtendea haki kutokumteua.hivi kwanini aliekua anakaimu nafasi ya cag hakuteuliwa cag badala yake akateuliwa mtu ambaye alikua nje ya taasisi?
Je ni jaji gani yupo arusha? nasikia tangu jana amebanwa
Nchi hii ina waigizaji wengi sana! Hii ESCOW itatujuza mengi but mimi nauhakika JK kapiga mpunga
Je ni jaji gani yupo arusha? nasikia tangu jana amebanwa
Jambo lipo mana huyu Assad jana baada ya kuapishwa ametamka eti kufanya tathmini tena kama pesa ni za umma ama la., kuna kamchezo flani ccm wanajaribu cijuwi itaishia vipi hii movie. let c..
Mi nilishtuka tangu siku Pinda anaahilisha Bunge, alipopayuka eti wanamwachia Kazi CAG abaini fedha ni za nani? kwa matamshi yale ina maana wanamtaka CAG aainishe kwa matakwa yao na si kwa uhalisia,kuna kitu kinatengenezwa hapa
Mpunga wa huyu bwana mkubwa ni wa uhakika. Uliona alivyokuwa anahutubia alivyotoka matibabu? Alilazimisha ile iwe hotuba ya mwisho wa mwezi. Mi ninaamini ndege take imebeba mgao wake kwenda kuuficha huko.
Hawa wote wanasiasa mkuu usitegemee jipya hapo.Kwasababu aliyekuwa ana act ni mbabaishaji na hafai kuwa CAG. Alitumia sakata la Escrow kujikomba kwenye system badala ya kunyoosha mstari kama alivyokuwa boss wake aliyestaafu. CAG gani haju kama fedha ni za nani wakati huo fedha hizo zipo BOT? "eti zile fedha zinaweza kuwa za serikali ama sio za serikali. BOT inakaa fedha ya umma tu. Full stop. Huyu fara Kikwete kamtendea haki kutokumteua.
Aliyeteuliwa alikuwa ni mwalimu chuo kikuu na ni prefossor. Uzoefu umeonyesha kuwa wanaodandia siasa kwa mbele yaani wanojiunga na siasa uzeeni wakiwa maprofessor wengi ni feki kasoro Mwandosya tu. So huyu sitegemei jipya. Kubobea kwenye uhasibu na kuongoza ukaguzi na udhibiti ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana.
Msichanganye Member TRA hakuna JajiJe ni jaji gani yupo arusha? nasikia tangu jana amebanwa
Kumbuka waraka wa Kakobe utajua unalosema!!!Ukimuuliza Katibu Kinana na timu yake wanasema watuhumiwa wote wawajibishwe. Ukisikiliza timu ya Mwenyekiti anasema hapana, maazimio ya Bunge hayatekelezeki. Ni chama kimoja kweli hiki?
Nani kamshtaki huyo CG wa TRA??
BACK TANGANYIKA
Hii habari hata haipo clear.
kuna kitu kinatengenezwa hapa
Jambo lipo mana huyu Assad jana baada ya kuapishwa ametamka eti kufanya tathmini tena kama pesa ni za umma ama la., kuna kamchezo flani ccm wanajaribu cijuwi itaishia vipi hii movie. let c..
Wakuu naomba kuweka wazi kinachoendelea.
Gazeti la Mwananchi limechapisha habari jana kuwa Bodi ya TRA (TRAB) imemsimamisha Kamishan wa TRA kutofuta hati za mauziano ya hisa kati Mechmar na Piperlink na Piperlink kwenda PAP.
Hii imetokana na ripoti ya TRA kuonyesha kuwa uuzaji wa hisa hizo ilikuwa ni uongo. Sasa Kamishna jana ameamua kufuta hizo hati na kilichonishangaza zaidi ni baada ya Zitto kutweet kuwa bodi ya TRA (TRBA) haikukaa na kutoa hili zuio kwa Kamishna. Kwa maana nyingine habari zilizochapishwa na Mwananchi jana hazikuwa za kweli.
Sasa kinachoendelea PAP na IPTL ndio wamemfungulia mashtaka Kamishner kwa kufuta hati hizo kwani alikiuka agizo la bodi ya TRA yaani TRAB)