Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,389
- 17,644
- Thread starter
- #61
This is an overstatement, WOTE kivipi? IRGC ingebaki vipi madarakani kama WOTE wameshakufa? Mnapenda kukuza vitu sana.
Ayatollah mbona watoto wake na wajukuu walikuwepo kwenye msiba tena madume kibao tu. Pia mkuu wa majeshi Ahmad Vahidi yupo hai na amekuwepo top rank IRGC tokea miaka ya 80 so unaposema WOTE wameuwawa unakosea sana.
Sio kweli mpaka ceasefire ilikua ndege 42 zimedunguliwa au damaged na hii ni kwa mujibu wa taarifa ya bunge la USA. Kwahiyo mtu anayeingia free hawezi dunguliwa. Pia Iran mbona inalipua makambi ya jeshi la marekani kwani ina maana US haina ulinzi imara? Hata hao Israel mbona kipindi cha vita kombora yalikua yanapita hadi yakalipua petrochemical sites za Dimona, bandari ya haifa, research institutes, hopistali, kambi za jeshi n.k
Hii vita walianzisha ili waung'oe utawala wa IRGC na wachukue hizo enriched uranium. Je wamefanikiwa katika hayo? Kma hawajafanikiwa ndio hiko tunasema hawana uwezo maana hizo ni airstrikes tu ila hakunaga nchi imepigwa kwa ndege tu lazima ulete askari wa miguuni na US and Israel wanajua hilo ila hawana huo ujasiri maana itakua bloody war kuliko Ukraine
ayatola alikuwa ni amiri jeshi mkuu na aliuliwa, hakuna defeat kama hiyo hasa unapoahindwa ku-inflict the same kwa adui …