Kumekucha, Netanyahu threatens to nuke Iran this time!

Kumekucha, Netanyahu threatens to nuke Iran this time!

Israel ni kati ya Mataifa majinga kabisa kwa kukubali Marekani iweke Kituo cha kijeshi pale; Inamaana kila Marekani inapopambana na Nchi yoyote ya middle East vita itapigwa Israel badala ya Marekani.
Na ukiona Israel inalia lia kutaka kutumia Nuclear ambayo imekatazwa kabisa kutumika duniani; Ujue maji yamefika shingoni....
Mbona Iran harushi hata jiwe hapo Israel anarusha kwa Waislam wenzake
 
Kwa hio Trump akiuliwa USA atatumia Nuclear sio haya tusubiri nasikia siku zake hazipo mbali yeye mwenyewe Trump kakiri hayo.

yes, ikitokea D.Trump kama raisi wa USA akawa assasinated na nchi nyingine, USA will revenge hata kama ikibidi nuclear weapons kulingana na uwezo wa adui, haijawahi kutokea raisi wa USA akawa assasinated na nchi nyingine wakiwa vitani ...
 
Israel ni kati ya Mataifa majinga kabisa kwa kukubali Marekani iweke Kituo cha kijeshi pale; Inamaana kila Marekani inapopambana na Nchi yoyote ya middle East vita itapigwa Israel badala ya Marekani.
Na ukiona Israel inalia lia kutaka kutumia Nuclear ambayo imekatazwa kabisa kutumika duniani; Ujue maji yamefika shingoni....

imekatazwa na nani? hivi wewe jews unawajua au unawasikia? ...
 
USA hawahitajigi sababu yenye mashiko kufanya uvamizi. Walivamia Vietnam, Iraq, Libya, Iran, Venezuela, etc. kwasababu gani?
Mkuu kwanini unaona kati ya nchi zote duniani US anastahiri kuivamia North Korea.
 
Habari nzima ni fake. Hakuna mahali popote siku yoyote ambapo Israel au Netanyahu alipotamka kuwa Israel itatumia nuclear dhidi ya Iran au taifa lolote.

Hii habari ni ya kutengenezwa.
 
Israel ni kati ya Mataifa majinga kabisa kwa kukubali Marekani iweke Kituo cha kijeshi pale; Inamaana kila Marekani inapopambana na Nchi yoyote ya middle East vita itapigwa Israel badala ya Marekani.
Na ukiona Israel inalia lia kutaka kutumia Nuclear ambayo imekatazwa kabisa kutumika duniani; Ujue maji yamefika shingoni....

Kwa nini watu mmekuwa wajinga wa kiwango hiki!! Yaani hizo habari za kutenhenezwa na wendawazimu, nanyi mnaziamini bila hata ya kufanya uchunguzi binafsi?

Hiyo habari ni ya uwongo. Hakuna kiongozi yeyote wa Israel ambaye amewahi kutamka kuwa Israel ina mpango wa kutumia silaha za nuclear dhidi ya Iran au Taifa lolote.

Hizo picha za video zinatengenezwa na majuha ambayo sijui yananufaika na nini kwa kutengeneza habari za uwongo namna hiyo.

Kama ingekuwa ni kweli, vyombo vyote vikubwa Duniani vingeandika habari hiyo. Kwa kuwa ni ya uwongo, hutasikia wala kuona kwenye chombo chochote cha habari cha kimataifa.
 
Nuclear sio kama matako kila mtu awe nayo
Kwa hiyo nchi kama North Korea unadhani atafata sheria ya kuzuia kuza Nuclear Boom kwani wewe akili yako Nuclear Boom huwezi ku disassembled and reassembled Ulisoma wapi wewe mpaa ukawa na akili za kuwaza matako
 
Kipigo cha mbwa koko anachopata Iran sasa hivi kikakumbukimbiza
USA ni mbwebe tu mwambie apitishe meli pale Hormuz si kila siku anajidai anauwezo huo na Hormuz iko chini yake hahaha tatizo wewe hujui Iran anavyo mtembezea kichapo ma billion ya USA yanapotea USA anadhani kupiga bridge na baadhi ya miundombinu Iran ndio atainua mikono hahaha anaota.
 
lkn wewe siyo muirani na wala hauishi irani, nina uhakika hata wairani wenyewe wakikusoma unavyocheka na kushabikia wakati wao wanataabika in real time watakushangaa sana, wengi wao wanaombea Mungu hata vita isimame tu na iishe waendelee na maisha yao ila wewe umekaa mbali unachochea kuni.
ndiyo maana nasema wengi wenu "mashabiki" wa irani you dont really care about the irani people na ndiyo maana mnashabikia lkn kwa irani is real wanakufa, wanaishi kwa wasi wasi hawajui ni saa ngapi na wapi bomu litaangukia, watoto siajabu hawasomi hiyo psychological problem kwa watoto peke yake some of them will never recover maisha yao yote, nchi yao inabomolewa ila kwenu ninyi ni michezo tu na ushindani yanga vs simba ...
 
Israel ni kati ya Mataifa majinga kabisa kwa kukubali Marekani iweke Kituo cha kijeshi pale; Inamaana kila Marekani inapopambana na Nchi yoyote ya middle East vita itapigwa Israel badala ya Marekani.
Na ukiona Israel inalia lia kutaka kutumia Nuclear ambayo imekatazwa kabisa kutumika duniani; Ujue maji yamefika shingoni....
Usiwe kama Waislam wanaishi kwa assumption tu, wewe wapi umesikia Israel imesema itatumia Nuclear? Hiyo Video hamna popote aliposema hata bomu kubwa , kusema much more Powerful respond haimanishi Nuclear. Israel knows how to make you feel painful .. yaani Mwana ukome Pushing ''The nuclear button'' kuna time ikiwa mbaya au ukishachoka kuigana unamaliza 1 burton
 
Mkuu kwanini unaona kati ya nchi zote duniani US anastahiri kuivamia North Korea.
Kwenye NK unaweza weka hata China hata Russia hawa wana silaha za maangamizi wanapaswa kudhibitiwa na U.S kama alivyofanywa Saadam.

Mifano ipo mingi tu ukitoa NK
 
Iran anazo Nuclear usitie wasi wasi huyu Shetanyahu ataishia kaburini yeye kwanza kabla ya Iran
Iran ana kombora la nyuklia ambalo limeshakamilika na liko tayari kutumika na ndicho kinachomhangaisha sanaaaaa Netanyau.
 
Back
Top Bottom