Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,011
- 1,794
Vipi baraza linavunjwa?
Ngoma drooo,
wao mwaka mpya umewakutaa na stress,
sisi mwaka mpya umetukuta hatuna hela!
Ngoma droooooooooooooooooooooo!!!
Nadhani kitu kama hicho maana huyu jamaa analia kinoma nashangaa mwaka mpya huu hatukuitwa kula wali na ngombe mwekundu starter ikiwa ni ya supu wa mbuzi mweusi
Huyo Lembeli ndio nani!!!!!!!!!!
Huyo Lembeli ndio nani!!!!!!!!!!
sema umekukuta hauna hela
wengine ulitukuta tuna hela......
Wana JF,
Dereva wa mbunge wangu ambaye ni Waziri wa Maji asubuhi wakati tunapata supu kwa nguluma hapa Mwanga alipokea simu kutoka mahali anapopajua yeye na kusema kuwa ameambiwa apeleke gari TEMESA kama ana mafuta basi mpaka saa kumi leo awe amefikisha gari la serikali Dar.
Wakati huo huo mchana wa saa tano nilikuwa naenda Mjini Ms nikapata Lift ya gari binafsi la Mbunge wangu akienda KIA! Njia nzima alikuwa akimlaani Kinana na Lembeli kuwa ndio chanzo cha yote!
Natumaini yametimia mkuu kawaita ghafla
Mkuu humjui kiboko ya nchimbi na wenzie?