Kumekucha! Lowassa ndani ya Ruaha

Kumekucha! Lowassa ndani ya Ruaha

uwanja aliohutubia magufuli juzi ulio ktk benk ya nmb wameona kuwa mdogo, ivyo lowassa atakuwa uwanja ulio ndani kambi ya nyumba za kampuni ya sukari, ni uwanja wa wazi na mkubwa.

kwa wale wenyeji wa Ruaha, Congo, Manyasini, K2, Nyamvis Karibuni Hapa.

atahutubia hapo saa ngapi?maana hapa Ifakara inasemwa na watu hatafika kwakua ANAUMWA...ndo habar zilizozagaa hizo[/QUOTE]
Mamaako ndio aliyemgonjesha we punguani fata mambo yako achana na Lowassa we nyumbu.
 
Ccm wamechoka kweli hivi unaetoa habari hii ni katibu mwenezi wa chadema au umehongwa upotoshe umma wasije ifakara. Tulieni magamba mbona mnalia sana
 
Peleka upum.bavu wako f.ala wewe utaugua wewe umuache Lowassa p.mbi kabisa.

hata sielewi kwanini unanitukana,soma posts zangu nimemtag mpaka Tumaini Makene, nimesikia watu wakisema Edo haji Ifakara wanasema anaumwa,nimeuliza hapa jamvini kupata uhakika wa habar hizi,hebu rudi page ya kwanza usome yooote niliyoyaandika,usiwe huna adabu kiasi hiko,inaonesha wakat unazaliwa ulitanguliza MIGUU badala ya kichwa,au ulilala na wazaz wako kwa muda mrefu chumba kimoja....kuwa na adabu hapa JAMVINI,mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! chongchung
 
Last edited by a moderator:
Ccm wamechoka kweli hivi unaetoa habari hii ni katibu mwenezi wa chadema au umehongwa upotoshe umma wasije ifakara. Tulieni magamba mbona mnalia sana

YESSSS hizi habar ndo zinazozagaa asbuh hii hapa mjini,ndo maana nauliza hapa,maana watu wa CHADEMA walipaswa kuweka wazi hapa,me hapa nilipo watu wanazidi kupashana hizo habar,na watu wanaendelea kuamini,,,,nami nawauliza wanasema sababu anaumwa,wengine wanasema USALAMA.....sasa habar hizi zinataka ufafanuz je kweli anaumwa????why umeshindwa kusoma posts kwa ufasaha na kuielewa????
 
Last edited by a moderator:
uwanja aliohutubia magufuli juzi ulio ktk benk ya nmb wameona kuwa mdogo, ivyo lowassa atakuwa uwanja ulio ndani kambi ya nyumba za kampuni ya sukari, ni uwanja wa wazi na mkubwa.

kwa wale wenyeji wa Ruaha, Congo, Manyasini, K2, Nyamvis Karibuni Hapa.

atahutubia hapo saa ngapi?maana hapa Ifakara inasemwa na watu hatafika kwakua ANAUMWA...ndo habar zilizozagaa hizo[/QUOTE]

Hapa Ruaha Lowassa Atakuwa Saa9 Alasiri Ndo Anamalizia Ktk Uwanja Wa Center K2, Jiran Kabsa Na Nyumba Yangu Hapa Block5
 
Nimejaribu kuwauliza validity ya hizi habar,wanasema imetangazwa kwenye T.V sasa me sijaweza access hyo T.V tena wamenambia alianguka Tabora,na jana alizuiwa kuongea,nikasema jamani anayeumwa ni Marando,wakasema ni EDO,nikaona nisimalize chai yangu ya vitumbua vya IFAKARA

We nae ni gamba dalili zote unazo
 
atahutubia hapo saa ngapi?maana hapa Ifakara inasemwa na watu hatafika kwakua ANAUMWA...ndo habar zilizozagaa hizo

Hapa Ruaha Lowassa Atakuwa Saa9 Alasiri Ndo Anamalizia Ktk Uwanja Wa Center K2, Jiran Kabsa Na Nyumba Yangu Hapa Block5[/QUOTE]

asante sana mdau,so muda huu Edo yupo HAPO????
 
Hilo gamba bobevu hapo juu linajiita Mkorogo sijui nini.... mnalipa kiki ya bure tu. achaneni nalo wakuu. Limetumwa na Mkusanyiko wa Mapunguani toka Lumumba kuja kukatia watu viuno hapa likijua linaweza kuwatoa watu kwenye Reli..!!!

BACK TANGANYIKA
 
sijawahi kuwa Pro CCM wala pro Upinzani,nimeuliza tu maana watu hapa nilipo wameaminishwa Edo haji,ndo nimeuliza,hawa wanasema hivyo hata JF hawaijui,baada ya kusikia ndo nimeuliza,sasa umagamba na upinzani hapo unatokea wap?
 
Mi nimesikia haendi ifakara maana kaugua gafla

Sara me niko maeneo ya stand Ifakara,hapa nawaskia watu wanasema,hizi habar inabid zikanushwe kama anafika au lah!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapa Ruaha Lowassa Atakuwa Saa9 Alasiri Ndo Anamalizia Ktk Uwanja Wa Center K2, Jiran Kabsa Na Nyumba Yangu Hapa Block5

asante sana mdau,so muda huu Edo yupo HAPO????[/QUOTE]

Mimi Ndo Nipo Jiran Kabsa Kwa Iyo Nitawapa Updates Zote. Majira Ya Saa9 Jioni Mpaka Saa12, Na Profesa Jay Ndiye Mgombea Ubunge Hapa Ruaha Tayari Yupo Hapa. Wananchi Wanasubiri Sanaaaaaaa.

Mimi Kama Mchungaji Nitawapa True Details
 
hata sielewi kwanini unanitukana,soma posts zangu nimemtag mpaka Tumaini Makene, nimesikia watu wakisema Edo haji Ifakara wanasema anaumwa,nimeuliza hapa jamvini kupata uhakika wa habar hizi,hebu rudi page ya kwanza usome yooote niliyoyaandika,usiwe huna adabu kiasi hiko,inaonesha wakat unazaliwa ulitanguliza MIGUU badala ya kichwa,au ulilala na wazaz wako kwa muda mrefu chumba kimoja....kuwa na adabu hapa JAMVINI,mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! chongchung
Wewe ni punguani wa bei rahisi tu huna lolote nimekufuatilia tokea mwanzo umeuliza ukajibiwa Lakini bado tu unaendelea kuandika upum.bavu wako unauliza eti Lowassa ameanguka Tabora?
Mkutano wa Tabora umeisha jana kama sio unafki na umbea wa kike ni nini? Unalazimishia na kukuza uvumi ambao umeuanzisha mwenyewe ili kuwakatisha watu tamaa nakwambia tena wewe ni mpu.mbavu, pi.mbi, punguani zero kabisa nyumbu.
 
chongchung hakuna alosema Lowassa atakuja Ifakara nakushauro ukopi na kupest hiyo post,mdau Illovo amefafanua kuwa Edo ataingia saa 9 Kidatu.....tetes nilizoziweka hapa naziskia nikiwa Ifakara,kwani ukinitukana unadhan ntababuka ngozi,ua so IDIOT pole sana
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni punguani wa bei rahisi tu huna lolote nimekufuatilia tokea mwanzo umeuliza ukajibiwa Lakini bado tu unaendelea kuandika upum.bavu wako unauliza eti Lowassa ameanguka Tabora?
Mkutano wa Tabora umeisha jana kama sio unafki na umbea wa kike ni nini? Unalazimishia na kukuza uvumi ambao umeuanzisha mwenyewe ili kuwakatisha watu tamaa nakwambia tena wewe ni mpu.mbavu, pi.mbi, punguani zero kabisa nyumbu.

kwahiyo umeleta sheria mtu akisikia tetesi asiulize, kweli wewe MPIGA KURA WA SENGEREMA YAANI MSENGEREMA......
 
punguani wewe unauliza tetesi gani?
Nimekuuliza mkutano wa Tabora uliisha jana?
Mbona mkutano uliisha mda mrefu na hakuna Habari ya Lowassa kuanguka eti Lowassa amezidiwa Dar amelazwa ameshindwa kuhutubia jana?
Wewe ni lame retarded Lunatic.
 
utakua umenisaidia sana sana ukiweka uthibitisho hapa,ili nami niwaambie wadau kuwa EDO atafika,hayo yooote uloyaandika nimeyaskia kwa watu wakiyaongea,ujue uwongo ukisemwa sana huaminiwa na kuwa ukweli,,,,ni vizur watu wa chadema wakathibitisha kama atakuja au lah,,,,,,,hayo ya Tabora na blah blah nyingine zote zimeongewa au zinaongewa na raia hapa mjini,,,,,,SWALI AMBALO WEWE chungchong unapaswa kulitolea ufafanuz hata wewe ni je jamaa atafika au hatafika??? Illovo amesema Kidatu atakuwepo je IFAKARA????
sasa matusi ya nini kama MALAYA WA KAUMBA???AU KINONDONI MANYANYA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom