Kumekucha! Lowassa ndani ya Ruaha

Kumekucha! Lowassa ndani ya Ruaha

Jana Baada Ya Kujenga Jukwaa Ktk Uwanja Wa Mpira Wa K2, Vijana Wa Chadema Walipanga Kukesha Lakini Uongozi Wa Kampuni Ya Sukari Kilombero Umezuia Kuchukua Umeme Ktk Nyumba Zake.

Lowassa Anatarajia Kumalizia Hapa Akitokea Ifakara Huku Umati Wa Watu Wakimsubiri.

Stay Connected For Updates

Usije kuukimbia huu uzi
Weka kifaa chako moto wa kutosha ili utoe habari yenye kina, Na picha pia inazungumza zaidi.
 
Jana Baada Ya Kujenga Jukwaa Ktk Uwanja Wa Mpira Wa K2, Vijana Wa Chadema Walipanga Kukesha Lakini Uongozi Wa Kampuni Ya Sukari Kilombero Umezuia Kuchukua Umeme Ktk Nyumba Zake.

Lowassa Anatarajia Kumalizia Hapa Akitokea Ifakara Huku Umati Wa Watu Wakimsubiri.

Stay Connected For Updates

Illovo nipo Ifakara leo siku ya 3 sijaona bango la Mgombe Ubunge wa Chadema hapa,ila kuanzia jana ndo nimeanza kuona mabango ya Edo na Duni.....wenyej nimewauliza wamenambia hakuna haja ya kuweka mabango kama Asenga mgombea wa CCM kwakua Mgombea wa CHADEMA anajulikana na ndo watakayemchagua...nasubiri leo nione umati huo,asbuh ya leo naona rasharasha za bendera za CHADEMA
 
Last edited by a moderator:
mkuu upo wapi tufahamianee, sijui kama uwanja utatoshaa kabisaa
 
Illovo nipo Ifakara leo siku ya 3 sijaona bango la Mgombe Ubunge wa Chadema hapa,ila kuanzia jana ndo nimeanza kuona mabango ya Edo na Duni.....wenyej nimewauliza wamenambia hakuna haja ya kuweka mabango kama Asenga mgombea wa CCM kwakua Mgombea wa CHADEMA anajulikana na ndo watakayemchagua...nasubiri leo nione umati huo,asbuh ya leo naona rasharasha za bendera za CHADEMA
TUTAONANA XJUI NIKO IFAKARA NA MKUTANO UPO NYUMA YA HOME leo kitanuka
 
Last edited by a moderator:
Jana Baada Ya Kujenga Jukwaa Ktk Uwanja Wa Mpira Wa K2, Vijana Wa Chadema Walipanga Kukesha Lakini Uongozi Wa Kampuni Ya Sukari Kilombero Umezuia Kuchukua Umeme Ktk Nyumba Zake.

Lowassa Anatarajia Kumalizia Hapa Akitokea Ifakara Huku Umati Wa Watu Wakimsubiri.

Stay Connected For Updates

Wamiliki wakuu wa Kilombero sukari ni mbunge wa zamani wa CCM) na mkwe wa Kikwete..
 
Wamiliki wakuu wa Kilombero sukari ni Abdul Mteketa (mbunge wa CCM) na Albert Marwa, aliyeoa mtoto wa Kikwete...

Mteketa ni mbunge wa CCM jimbo lipi? kwa sababu najua kwenye kura za maoni alipigwa kata funua ..:dizzy:
 
Hata kama aumwa atakuja na machela uwanjani..CCM mwaka huu mtamjua mamvi ni nani

Nimejaribu kuwauliza validity ya hizi habar,wanasema imetangazwa kwenye T.V sasa me sijaweza access hyo T.V tena wamenambia alianguka Tabora,na jana alizuiwa kuongea,nikasema jamani anayeumwa ni Marando,wakasema ni EDO,nikaona nisimalize chai yangu ya vitumbua vya IFAKARA
 
[QUO RTE=shost;13920726]mkuu upo wapi tufahamianee, sijui kama uwanja utatoshaa kabisaa[/QUOTE]



uwanja aliohutubia magufuli juzi ulio ktk benk ya nmb wameona kuwa mdogo, ivyo lowassa atakuwa uwanja ulio ndani kambi ya nyumba za kampuni ya sukari, ni uwanja wa wazi na mkubwa.

kwa wale wenyeji wa Ruaha, Congo, Manyasini, K2, Nyamvis Karibuni Hapa.
 
[QUO RTE=shost;13920726]mkuu upo wapi tufahamianee, sijui kama uwanja utatoshaa kabisaa



uwanja aliohutubia magufuli juzi ulio ktk benk ya nmb wameona kuwa mdogo, ivyo lowassa atakuwa uwanja ulio ndani kambi ya nyumba za kampuni ya sukari, ni uwanja wa wazi na mkubwa.

kwa wale wenyeji wa Ruaha, Congo, Manyasini, K2, Nyamvis Karibuni Hapa.[/QUOTE]

atahutubia hapo saa ngapi?maana hapa Ifakara inasemwa na watu hatafika kwakua ANAUMWA...ndo habar zilizozagaa hizo
 
Nimejaribu kuwauliza validity ya hizi habar,wanasema imetangazwa kwenye T.V sasa me sijaweza access hyo T.V tena wamenambia alianguka Tabora,na jana alizuiwa kuongea,nikasema jamani anayeumwa ni Marando,wakasema ni EDO,nikaona nisimalize chai yangu ya vitumbua vya IFAKARA

Peleka upum.bavu wako f.ala wewe utaugua wewe umuache Lowassa p.mbi kabisa.
 
Back
Top Bottom