Kumekucha: Kamanda mkuu wa Hezbollah na makamu wake wauawa na IDF

We utatoaje baraka na ulishabarikiwa tayar Sheikh. We mpaka wajiita utamu sio riziki tena. Umejaa baraka. Uwape na wenzio huko zenji
Nawe unataka kubarikiwa zaidi ya mara moja pia sio mbaya
Baraka zipo kila jumaapili uwahi mapema nasikia kunakua na foleni kubwa sanaaaaaaaa
 
Hizbullah kama kundi teule kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu yaaani maana ndio lugha pekee wanayo ielewa magaidi ya kizayuni hayaelewi lugha nyengine
hamtaki tena kuifuta Israel bali mnataka waondoke Gaza
 
Sio nchi zote za kiarabu zina support ugaidi wa Iran na vibaraka wake.
Tatizo lenu nyie wakristo mtu akidai haki awe Muislam ni gaidi hatuwezi badilisha fikra zenu sababu Paulo alisha wapoteza hata binadamu kawa Mungu.

Hata warabu wako nje ya dini lazima wawe kama nyie, wanaona wakifata uislam watakosa raha za dunia.

Nakuliza hivi Yesu anamuita nani Maryam na Maryam anamuita nani Yesu.
 
Tatizo lenu nyie wakristo mtu akidai haki awe Muislam ni gaidi hatuwezi badilisha fikra zenu sababu Paulo alisha wapoteza hata binadamu kawa Mungu.

Hata warabu wako nje ya dini lazima wawe kama nyie, wanaona wakifata uislam watakosa raha za dunia.

Nakuliza hivi Yesu anamuita nani Maryam na Maryam anamuita nani Yesu.
Nimetoa hoja kuhusu ugaidi wewe unaingiza mambo ya ukristo na uislam?! Unahusika vipi?
 
Haya we tuambie kwanini Hamasi na Hezbullah ni magaidi kama si ukristo unakusumbua.

Kwanini Israel si gaidi?

AU kwanini America si gaidi.

Tujibu hapo.
Kwa sababu ya matendo yao ya kigaidi.
Kuua raia wasiokua na hatia, kuteka na kubaka wanawake pamoja na watoto wadogo.
Huo ni ugaidi 100%.
Hauhitaji kuwa mkristo, muislam ama mpagani kutambua matendo maovu ya kigaidi yaliyotekelezwa na hamas 0ct 7
 
Kwa sababu ya matendo yao ya kigaidi.
Kuua raia wasiokua na hatia, kuteka na kubaka wanawake pamoja na watoto wadogo.
Huo ni ugaidi 100%.
Hauhitaji kuwa mkristo, muislam ama mpagani kutambua matendo maovu ya kigaidi yaliyotekelezwa na hamas 0ct 7
Wewe leta dalili moja tu hayo maneno yako ulio yasema kama kweli, utuonyeshe wapi Hamasi na Hezbullah wanabaka wanawake au wameuwa watoto wasio na hatia.

Huwezi leta na uhakika 💯 lakini we fatilia vita vya Israel na America ndio kuna hayo unayo ongelea na dunia nzima wanaushahidi.

Hamasi hawana sifa za kijinga za hivyo, nimeisha kueleza wewe ukiniletea dalili moja Hamasi wamerape au wameuwa watoto mimi naingia ukristo sasa hivi.

Wewe mimi nakupa dalili Gaza mpaa wanaume wamevuliwa nguo, watoto wameuliwa na wanawake wamekuwa rape huo si ugaidi? si nakuambia dini yenu ni ya kishetani ushenzi mnauna uzuri na uzuri mnauona ushenzi😄

Haya fatilia vita vyote alivyo pigana America anabaka anauwa watoto anauwa mpaa wanyama huo si ugaidi.

Ukristo ni lana tupu.


View: https://youtu.be/BMs1iiJEaSw?si=gdXEFYRLRM_yr5Yi

Kiongozi wa Hezbullah anawambia Israel msidhani mmeuwa raiya wasio na hatia tutapiga magari ya jeshi au camp zajeshi au vyombo vya ujasusu na etc. Safari hi na sisi tunakuja uwa raia wasio kuwa na hatia sababu Israel kazowea kuwauwa raia.

Afu kampa warning yule waziri wa majeshi wa Israel kama kachanganyikiwa basi safari hi atajua kitisho chake cha kusema tutapiga Beirut afahamu wazi hizo 50km si kitu wala haziwatishi.

Amemuambia Hezbullah ana silaha zenye uwezo wakufika Elat yani zina fika kila kona ya Israel na ziko na uwezo wa kupiga target 💯
 
Back
Top Bottom