Kumekucha jimbo la Ukonga, Didas Masaburi atangaza nia kugombea ubunge

RaisMtarajiwa

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
704
65
Dr. Didas Masaburi atangaza rasim Leo kugombea jimbo LA ukonga kwa mama mwaiposa. Jana Jerry Silaa alitangaza cha hajabu leo mstahiki meya na kipenzi cha wengi Dr. masabuli atangaza rasmi nia yake ya kuwa mmoja kati ya wabunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu ambariki kipenzi cha wengi.
 
Masaburi ni baba yako nini mkuu naona umempa kapro kintindo
Ila kwa taarifa yako ukonga asahau
Labda agombee kupitia CDM lakini ccm pale hawana lao 2015
 
Kipenzi cha kwako sio cha wengi baada ya kuuza Uda sasa tusubiri akaiuze Airport
 
Kwani muda wa kutangaza nia na kujipitisha pitisha a.k.a. kujigonga gonga umeshafika? Mbona wengine waliitwa Dom wakapewa "karipio kali"? Au na huyu ataitwa? Anyway lets wait and see.
 
Dr. Didas Masaburi atangaza rasim Leo kugombea jimbo LA ukonga kwa mama mwaiposa. Jana Jerry Silaa alitangaza cha hajabu leo mstahiki meya na kipenzi cha wengi Dr. masabuli atangaza rasmi nia yake ya kuwa mmoja kati ya wabunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu ambariki kipenzi cha wengi.

mh. Didas Nasaburi akiongea na vyombo vya Habari hii Leo SAA NNE hasubui
 
Attachments

  • IMG_7954.JPG
    IMG_7954.JPG
    12.3 KB · Views: 208
Dr. Didas Masaburi atangaza rasim Leo kugombea jimbo LA ukonga kwa mama mwaiposa. Jana Jerry Silaa alitangaza cha hajabu leo mstahiki meya na kipenzi cha wengi Dr. masabuli atangaza rasmi nia yake ya kuwa mmoja kati ya wabunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu ambariki kipenzi cha wengi.
Mbona hueleweki,hapo kipenzi ni nani sasa kati ya Masaburi na Jerry Slaa?
 
mh. Didas Nasaburi akiongea na vyombo vya Habari hii Leo SAA NNE hasubui

Dr. Didas Masaburi atangaza rasim Leo kugombea jimbo LA ukonga kwa mama mwaiposa. Jana Jerry Silaa alitangaza cha hajabu leo mstahiki meya na kipenzi cha wengi Dr. masabuli atangaza rasmi nia yake ya kuwa mmoja kati ya wabunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu ambariki kipenzi cha wengi.
 
Unajua kiswahili kinaenda kinakua, kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikiogopa kutaja au kuandika neno "Masaburi" kwa hofu kwamba lina maana ya sehemu ya mwili ambayo sio vizuri kuhitaja hadharani, kumbe ni jina la utani tu la hicho kiungo.

Tiba
 
Dr. Didas Masaburi atangaza rasim Leo kugombea jimbo LA ukonga kwa mama mwaiposa. Jana Jerry Silaa alitangaza cha hajabu leo mstahiki meya na kipenzi cha wengi Dr. masabuli atangaza rasmi nia yake ya kuwa mmoja kati ya wabunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu ambariki kipenzi cha wengi.
Umeandika kishabiki sana.
 
...mkuu tunaomba taarifa zake huyu Dr. Masabuli...(.. mh. Didas Masaburi) !
"Mwaiposa na Jerry' ni wezi wa fedha ya miradi ya Ukonga... "
 
Dr. Didas Masaburi atangaza rasim Leo kugombea jimbo LA ukonga kwa mama mwaiposa. Jana Jerry Silaa alitangaza cha hajabu leo mstahiki meya na kipenzi cha wengi Dr. masabuli atangaza rasmi nia yake ya kuwa mmoja kati ya wabunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu ambariki kipenzi cha wengi.
Eeeee,hili Tiafa lina vituko kweli,yaan Masaburi naye ni Kipenzi cha wengi, haya bhana ,nahis una HISA UDA wewe si bure
 
...baadhi ya taarifa za kipenzi cha wengi
" HATUA ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam,
Dk. Didas Masaburi kuunga mkono ununuzi
wa mabasi mapya kwa kampuni ya usafiri Dar
es Salaam (UDA), imechukuliwa kuwa “uasi”
kwa serikali.
Dk. Masaburi anaunga mkono uamuzi wa
kampuni ya Simon Group iliyotangaza
mwishoni mwa wiki kuwa imenunua mabasi
30 kutoka kampuni ya TATA ya India ili kutoa
UDA katika “janga la kuangamia.”
Taarifa zinasema hatua ya Simon Group
kununua mabasi haikushirikisha Msajili wa
Hazina ambaye anashikilia hisa za serikali
katika UDA.
Ununuzi wa mabasi unafuatia kikao maalum
kilichoendeshwa na Dk. Masaburi, kuamua
kufungua moja ya akaunti za UDA, kuweka
waendesha akaunti wapya, kuweka fedha
kwenye akaunti hiyo na kuomba benki
kuruhusu uhamishaji fedha kwenda akaunti ya
kampuni ya magari ya TATA.
Sasa taarifa zinasema Dk. Masaburi
ameongoza kikao cha wanahisa bila kuwapo
Msajili wa Hazina anayewakilisha serikali na
kuandaa orodha mpya ya watia saini kwenye
hundi za UDA.
Simon Group imekuwa katikati ya mgogoro na
wizara ya Fedha na Uchumi kwa kile
kilichoitwa kuuziwa hisa bila kufuata utaratibu
na kampuni “kufanywa mwanahisa kiongozi”
katika UDA.
Hatua ya Dk. Masaburi na Simon Group
imechukuliwa kuwa ni uasi kwa vile imevunja
pia maamuzi ya tarehe 10 Juni 2011 ya
Mkutano Maalumu wa wanahisa wa UDA.
Kwenye mkutano huo, wanahisa walikubaliana
kuvunja bodi ya wakurugenzi wa UDA
iliyokuwa inaongozwa na Idd Simba,
kumsimamisha kazi meneja wa shirika, Victor
Milanzi na kuwasimamisha watia saini wa
nyaraka na hundi za kampuni.
Chini ya makubaliano hayo, hundi na nyaraka
zilitakiwa kusainiwa na wanahisa wawili kati
ya watatu waliokuwapo; na endapo ungetokea
ucheleweshaji wa uteuzi wa watia saini,
mwanahisa Simon Group alitakiwa kuendelea
kulipa mahitaji ambayo yangejitokeza kwa
kushauriana na wanahisa wenzake.
Waliohudhuria kikao hicho kwa upande wa jiji
la Dar es Salaam walikuwa Dk. Didas
Masaburi (Mwenyekiti), Isaac Tasinga
(mwanasheria wa Jiji) na Kaimu Mkurugenzi
wa Jiji, Philip Mwakyusa.
Kwa upande wa Simon Group, alikuwapo
Robert Kisena kama katibu. Hakukuwa na
mwakilishi wa Hazina.
Kutokana na hali hiyo, uendeshaji wa shughuli
za UDA umekuwa ukitegemea fedha kutoka
kwa kampuni ya Simon Group, hali ambayo
“imefanya shughuli za kampuni hiyo kuwa
ngumu.”
Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group, Robert
Kisena amesema kuwa wamekuwa wakilipa
mishahara, mafuta ya magari, mafao ya
watumishi waliostaafu na madeni mbalimbali
kwa fedha za Simon Group.
Shirika la UDA lilianzishwa na serikali mwaka
1974 na mwaka 1983 msajili wa hazina alitoa
asilimia 51 ya hisa kwa Halmashauri ya Jiji la
Dar es Salaam kwa ili kuisaidia kuwa na
vitega uchumi na kuboresha usafiri wa jiji.
Msajili wa hazina alibakia na asilimia 49.
Mwaka 2007 kulifanyika kikao cha wanahisa
kilichoagiza Bodi ya UDA, kwa kushirikiana na
Wizara ya Miundombinu, kutafuta mwekezaji.
Wizara iliipata Kampuni ya Simon Group
Limited ambayo ilijitokeza kununua hisa za
serikali lakini ikatakiwa ridhaa ya serikali.
Kabla ya ridhaa hiyo kutolewa, Bodi ya UDA
ikauza hisa za serikali ambazo zilikuwa
hazijagawiwa kwa Simon Group, badala ya
kusubiri msajili wa hazina kuuza hisa zake,
wala kuomba ushauri kutoka kwake au kwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Uongozi wa UDA ulipotaka kununua magari
mapya, uliitisha kikao cha wanahisa ili kupata
idhini ya kutumia fedha zilizokuwa katika
akaunti ya shirika hilo. Msajili wa hazina
hakuhudhuria kikao hicho.
“Tuliwasiliana na Msajili wa Hazina lakini
alitueleza kuwa alikuwa bado anashughulikia
masuala yetu ya kutaka kurekebisha shirika;
ndipo sisi (menejimenti ya UDA) tukaamua
kuitisha kikao cha wanahisa kuweka mikakati
namna ya kununua mabasi hayo,” ameeleza
Kisena.
Amesema, “Tulimfuata Dk. Masaburi,
tukamweleza mpango wetu na kwamba fedha
tunazotaka kuchukua kwenye akaunti ya UDA
ni zetu Alituelewa. Tuliketi na tukateua watia
saini wengine kutoka miongoni mwetu,”
Kikao hicho kiliwashirikisha Dk. Masaburi
kutoka Halmashauri ya Jiji akiwa mwenyekiti;
waliowakilisha Simon Group ni Robert Kisena
na Venance Matondo. Waalikwa wawili kutoka
UDA walikuwa Simon Bulenganija na Said
Fikirini.
Walioteuliwa kuwa watia saini kisha
kutambulishwa benki ya CBA (Commercial
Bank of Africa), ni Robert Kisena, Simon
Bulenganija na Said Fikirini.
Nyaraka mbalimbali zilizolifikia -----------
zinaonyesha kuwa UDA iliomba CBA ihamishe
dola za Marekani 133,125Â kutoka akaunti
yake Na. 102203003 kwenda akaunti ya TATA
African Holding (T) Ltd., ambayo ni Na.
8706005450900 katika Benki ya Standard
Chartered (Tanzania) Ltd.
Fedha hizo ni sawa na asilimia 25 ya malipo
kwa mabasi ambayo UDA imeamua kununua
kutoka TATA kwa dola za Marekani 532,500.
Mabasi hayo yenye uwezo wa kubeba abiria
40 kila moja, yalitakiwa kuwasili kabla ya 15
Februari 2012.
Siku ambayo UDA waliomba kuhamisha fedha
hizo kwa barua Kumb. Na. CBA/REG/01/UDA
ya 26 Januari 2012, ndipo waliingiza katika
akaunti hiyo Sh 213,665, 625 (karibu sawa na
dola za Marekani 133,125) kwa kutumia hundi
Na. 333023.
Uchunguzi wa ----------- umebaini kuwa
licha ya UDA kutimiza masharti ya benki hiyo,
uongozi wa CBA uliingiwa na wasiwasi na
kuamua kuandika barua kwa wizara ya fedha
kuuliza iwapo malipo hayo yafanyike, hasa
kutokana na mgogoro ulioliandama shirika
hilo.
Katika barua hiyo, Kumb. Na. Legal/
FinanceMinistry/02/12/01 ya 16 Februari
2012 kwenda kwa Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha, CBA inauliza iwapo serikali inajua
mabadiliko ya umilikaji wa hisa za UDA
ambao umebadili muundo wake kwa kuingiza
Simon Group kama mwanahisa.
CBA ilitaka kujua pia iwapo maombi ya
kuhamisha fedha hizo yalikuwa sahihi kisheria
na yanatambuliwa na serikali; na iwapo
makubaliano ya wanahisa hao yalikuwa na
uhalali kisheria na yanawabana wahusika
wote, ikiwamo serikali.
Uongozi wa benki hiyo, tawi la PPF House
iliko akaunti hiyo, ulitoa siku tano za kazi
kusubiri majibu ya serikali, na endapo
isingejibu, benki ingefanya malipo hayo.
Dk. Masaburi alipoulizwa kwa njia ya simu
kuhusiana na suala hili, alisema ameamua
kufungua akaunti hiyo kwa maslahi ya UDA; ili
iweze kufanya kazi kwa kuwa shirika lilikuwa
linashindwa kujiendesha.
“Niliona ni busara wafungue akaunti moja
yenye hela zao, ili iweze kutumika. Hata
kwenye hiyo akaunti hakukuwa na hata senti
tano za UDA. Hela zile waliweka wenyewe
Simon Group na walitaka kuzitumia,” alisema.
Amesema katika uamuzi huo
hawakumshirikisha msajili wa hazina, kwa
kuwa hata kwenye kikao cha kufunga akaunti
hizo za UDA hakushiriki.
“Tulikaa na huyu Bwana (Kisena)
tukakubaliana kama tulivyokubaliana awali,”
alisema Masaburi.
Msajili wa hazina Godfrey Msela hakupatikana
kutoa maelezo. Kaimu msajili wa hazina
aliyetambuliwa kwa jina la Mlaki na ambaye
alikuwa na sauti ya kike, alisema yeye ni
mgeni ndani ya ofisi hiyo na kwamba hakuwa
na watu wa kuuliza nje ya muda wa kazi
alipopigiwa simu.
Meneja wa CBA tawi la PPF House ilipo
akaunti hiyo aliyejitambulisha kuwa ni
Mbilinyi, alisema yeye si msemaji, bali
wahusika ni makao makuu ya benki hiyo,
ambao hata hivyo hawakupatikana hadi
tunakwenda mitamboni."
======

" MEYA wa Halmashauri ya Jiji la Dar es
Salaam, Dk. Didas Masaburi ameliingiza
Shirika la Usafiri la Dar es Salaam (UDA)
katika mgogoro mkubwa wa kisheria kufuatia
hatua yake ya kukaidi agizo la ofisi ya waziri
mkuu, ----------- limebaini.
Katika hali inayozua maswali mengi Dk.
Masaburi aliamua kuitisha mkutano wa
wanahisa, akiwemo mwekezaji mpya – Simon
Group Limited (SGL) aliyemuuzia kinyemela
hisa 52.535 bila kufuata taratibu na katika
mazingira yaliyojaa utata.
Dk. Masaburi aliitisha mkutano huo 10 Juni
2011 huku akijua fika kwamba serikali
imemuagiza kusitisha “mara moja” mchakato
wa kukabidhi shirika hilo kwa muwekezaji.
Ofisi ya Waziri Mkuu, ilimwagiza Meneja Mkuu
wa UDA asikabidhi shirika hilo kwa anayejiita
muwekezaji. Barua ya ofisi ya waziri mkuu
kwenda kwa meneja wa UDA ilikuwa na Kumb.
Na. CAB. 185/295/01/27. Iliandikwa 28
Februari, 2011 na ilisainiwa na E.G.
Mgendera.
Mgendera katika barua hiyo alieleza
“Mwanasheria Mkuu wa Serikali amebaini
uuzaji wa hisa za UDA ambazo hazijagawiwa
unafanyika kinyume na Sheria ya Manunuzi ya
Umma (2004).”
Anasema, “Unashauriwa kuwasiliana na
Consolidated Holding Corporation (CHC) ili
kupata ushauri wa namna bora ambayo hisa
hizo zinaweza kuuzwa kwa utaratibu
unaokubalika kisheria.”
Nakala ya barua hiyo ilipelekwa kwa Katibu
Mkuu Hazina, Katibu Mkuu Wizara ya
Uchukuzi na Mkurugenzi wa Jiji.
Aidha, Dk. Masaburi aliitisha mkutano wa
kukabidhi UDA mikononi mwa muwekezaji bila
kushirikisha serikali; alichukua uamuzi huo ili
“kutimiza maelekezo ya SGL” waliokuwa
wanatamani kwa udi na uvumba udhibiti wa
mali za UDA.
Kuibuka kwa taarifa hizi kumekuja wiki moja
baada ya Kambi rasmi ya upinzani bungeni
kuituhumu serikali kuuza shirika hilo
kinyemelela.
Kambi ya upinzani ilisema aliyeekuwa
mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya UDA,
Iddi Simba amechotewa na kampuni ya Simon
Group Ltd., iliyomilikishwa shirika hilo kiasi
cha Sh. 200 milioni “kwa njia ya rushwa.”
Tayari sakata la uuzaji wa hisa za UDA
umeibua mvutano mkubwa wa maneno kati ya
Dk. Masaburi na baadhi ya wabunge wa jiji la
Dar es Salaam wanaotaka uuzaji huo
usitishwe.
Kwa mujibu wa nyaraka kadhaa ambazo
gazeti hili imezipata, Dk. Masaburi
amefanikisha “diri” hiyo bila kushirikisha
Msajili wa Hazina, ambaye kisheria ndiye
msimamizi wa hisa za serikali katika
mashirika ya umma.
Mkutano huo wa 10 Juni 2011 uliokabidhi
UDA mikononi mwa muwekezaji ulihudhuriwa
na Dk. Masaburi, Isaac Tasinga, mwanasheria
wa jiji, Philip Mwakyusa, kaimu mkurugenzi
wa jiji na Robert Kisena, mkurugenzi mtendaji
wa Simon Group Ltd.
Katika mkutano huo, Dk. Masaburi ndiye
aliyemtambulisha rasmi anayeitwa
muwekezaji kama ndiyo mwenye hisa mkubwa
(Majority Shareholder); hatua ambayo
ilikwenda sambamba na kuvunjwa kwa bodi
ya UDA.
Siku hiyohiyo ya 10 Juni, Dk. Masaburi
alisaini waraka ulioarifu kuvunjwa rasmi kwa
bodi ya shirika hilo.
Waraka huo ulioandaliwa katika karatasi
yenye nembo na anuani za UDA – Mtaa
Bandarini, Eneo la Bandarini, S.L.P 872, Dar
es Salaam, ulielekeza pia kuteuliwa kwa
wakurugenzi wapya ambao hawatapungua
wanne watakaoteuliwa na wenye hisa.
Mtendaji mpya wa UDA kwa mujibu wa waraka
huo, ni Simon Masumbuko Bulenganija.
Hata hivyo, Masaburi alitenda hayo bila idhini
ya Baraza la Madiwani la jiji la Dar es
Salaam.
Kutokana na kugundua udhaifu huo, Dk.
Masaburi aliitisha kikao cha Kamati ya Fedha
na Uongozi, 29 Juni mwaka huu – siku 10
baada ya shirika kukabidhi muwekezaji –
kutaka kuhalalisha uamuzi wake, hatua
ambayo imepingwa na baadhi ya wabunge
wakisema ni “kinyume cha taratibu.”
Nyaraka zinaonyesha mkataba wa mauziano
ya hisa kati ya jiji na SGL ulifanyika 11
Februari 2011.
Katika kile kinachoweza kuitwa kuweka
mazingira vizuri, tarehe 6 Juni 2011, Robert
Kisena, aliandikia barua msajili wa hazina na
mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam akiwataka
kuitishwa mkutano wa wanahisa ili kuliokoa
shirika hilo.
Kisena, aliyejitambulisha kama Mwenyekiti
Mtendaji wa Simon Group Ltd., alisema
kutokana na mazingira ya kutoheshimiwa
makubaliano ya mkataba kati yake na jiji,
wameanza kuwa na mashaka na hata “kukosa
imani juu ya mambo mengine tunayopaswa
kutekeleza kwa upande wetu.”
“Kwa hali hiyo, tunadhani njia pekee ya
kuokoa shirika na kulinda haki zetu ni kwa
wanahisa wenyewe kuingilia kati kwa kuitisha
kikao maalum (extra ordinary meeting) ili
kufanya maamuzi ya mustakabali wa shirika,”
aliandika.
Alisema hatua hiyo ilikuwa inatilia mkazo
uzingatiaji wa Ibara ya 4.4.1 ya mkataba wa
mauziano ya hisa kati ya pande hizo mbili.
Kisena ndiye aliyeandika barua siki hiyohiyo
kumjulisha Idi Simba kuvunjwa kwa Bodi yake
ya Wakurugenzi.
----------- limefahamishwa uuzaji wa UDA
umegubikwa na utata. Kwa mfano, mchakato
wa uuzaji wa UDA ulianza mwishoni mwa
mwaka 2010, lakini ulipamba moto wakati Dk.
Masaburi aliposhika kiti cha umeya Februali
2011.
Katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa meya
wa jiji la Dar es Salaam, aliyebeba Masaburi
hadi katika klabu maarufu ya Saigon,
Kariaokoo Dar es Salaam, ni Iddi Simba."
 
Kipenzi cha kwako sio cha wengi baada ya kuuza Uda sasa tusubiri akaiuze Airport

Huyu fisadi mwizi hawezi kuwa kipenzi cha wananchi; ndio maana yeye na mwizi mwenzie Makongoro Mahanga walikataliwa na wana magamba walipogombea kuwa wajumbe wa NEC!!!
 
Masaburi kipenzi cha wengi, Masaburi? Ama kweli njaa mbaya. Il waandishi wa habari wanawake wajiandae "kumtangaza" mhe. Masaburi. Masaburi???
 
Back
Top Bottom