commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
- Thread starter
- #61
ID yako inatosha kukujibu
Na ndio wenye uchungu na nchi wewe subiri kubebwa maana hata majibu yako ni ishara tosha ya ufupi wa uelewa wako:thumbdown::thumbdown:
ID yako inatosha kukujibu
Yaani we mjinga wa mwisho kabisa. Inamaana wewe kwenye chama chako hujuhi mwigulu ni nani na kinana ni nani? kweli watanzania tumekwisha ckutegemea km kuna mtu anaweza kumbeza kinana au mwigulu maana hawa ndio watetezi wakubwa wa wanyonge na watanzania kwa ujumla.
Hivi Geita huwa hakuna watu? Au hela za mabasi ya kukusanya watu zimeisha!
Hivi Geita huwa hakuna watu? Au hela za mabasi ya kukusanya watu zimeisha!
Lete ushahidi sio kukurupuka Mwigulu ni field marshall wa kisiasa nyambizi wa kisiasa na ana mvuto wa kipekee kwa watanzania ndio maana tunataka awe Rais wetu 2015.hizo propaganda zenu hazitawasaidia hizi si mbio za sakafuni.mkuu.
Ha ha ha ha ha haaaa kweli nyie akili zenu hazitofautiani na wafu wasiojua chochote, yaani mhuni kama Mwigulu ndo awe rais?
mkombozi wa familia yenu labda wanachi hatuna imani na chama cha wezi ccm na hatuna imani na huyu gaidi mwenzako mwigulumwigulu wewe ndiye mkombozi wetu tunakutegemea 2015
Ha ha ha ha ha haaaa kweli nyie akili zenu hazitofautiani na wafu wasiojua chochote, yaani mhuni kama Mwigulu ndo awe rais?
Nchemba anajaribu kufanya siasa za kweli at least kwa maneno lakini naamini anakorofishana na wakongwe kwenye chama hatafika mbali
Unajua Sera za ccm ni pamoja na uhuni. Kwa hiyo watu wenye Siasa za kifedhuli kama mwigulu kwao ndio anawafaa kwa hiyo usiwashangae sana mkuu usungo[/QUOTET
Tatizo mnatumia tumbo kuwaza namnakubali kushikiwa akili,povu limekutoka na hoja ya msingi huna
Yaani katika mazwazwa your the tirst.ndio maana tunataka tumchague mwigulu awe rais wetu mafisadi wote watakomaPamoja na kwamba umekosea neno muadilifu na weledi,hebu niambie tu kwa kumbukumbu zako ana rekodi zipi za uadilifu na ueledi unaouzungumzia,mi ninachokiona kwake ni kupambana na wapiznani kwa matusi na kupenda sifa kulikopindukia,kwa wahafidhina na magenge ya wezi,wahuni na wasaka tonge ndani ya ccm hakuwezi kuwa na muadilifu ndani ya chama chenu,hata Pinda alijipambanua kama mtoto wa mkulima lakini mwisho wa siku ni walewale tu,kuna genge ndani ya chama tawala lina nguvu kubwa sana kuliko hata taasisi ya urais,kumbuka maneno ya JK kuwa watuhumiwa wa EPA tukiwakamata nchi itayumba,majina ya wauza unga tunayo lakini hatuwezi kuwataja,hao ni watu wenye nguvu sana ndani ya chama chenu,the only way we can move out of here is to dismantle the whole system.ccm has to go.
Mwigulu anajijenga binafsi badala ya chama. Amekua akinunua watu Wa kuandika hayo mabango... kazi IPO...
Acha ulongo
yaani mtu hapa ndio umefanya uzi wa maana Jf sio ile tena. Mm nilikuwa hata kujiregister nilikuwa naogopa. Watu walikuwa wanaandika nyuzi zenye akili, sio ujinga huu uloleta kwa mfano tukuulize ww lengo la uzi wako utajibu vip?
Yaani katika mazwazwa your the tirst.ndio maana tunataka tumchague mwigulu awe rais wetu mafisadi wote watakoma
Tabia za kusifia watu badala ya mfumo ni mbaya. Nayajua majina ya watu wenye hii tabia ila najizuia kuyatumia hapa.Tatizo mnaukataa ukweli ili kujiridhisha. Ni nani asiyeiona kazi ya mwigulu? Ukweli ni kwamba mwigulu anakubalika kwa kila mtanzania kutokana na uzalendo na utendaji kaazi wake.wafidhina mlie tu mwigulu sio size yenu.