Kumekucha!, hatimae Mwigulu amesalimu amri Babati leo

Kumekucha!, hatimae Mwigulu amesalimu amri Babati leo

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,377
Reaction score
1,957
Ndugu wanabodi,
Katika hali iliyonishangaza CCM pamoja na kubebwa na kurushwa matangazo yao pekee na ITV.

Taarifa ya habari saa mbili jioni hii 12/12/2014.
Katika mkutano wa hadhara mjini Babati wakati akihutubia umati wa watu wachache waliojitokeza, mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita ndugu musukuma ambae ameambatana naibu katibu mkuu wa ccm bara mh mwigulu.
Nikimnukuu.
."hatuwezi kutembea tangu asubuhi hadi jioni tukizomewa kama watoto kwa ajili ya watu wachache, ni lazima serikali ichukuwe hatua kwa suala hili la escrow"

Naye Mwigulu akihutubia Amesema serikali itawachukulia hatua watumishi wote watakaobainika kukiuka maadili katika halmashauri zote nchini bila kusita.

My take;
Kauli ya ndg musukuma mwenyekiti CCM mkoa wa Geita inaashiria kwamba wamekumbana na hali ambayo hawakutarajia.na ameonyesha kumtumia ujumbe mwenyekiti wao taifa ili achukuwe hatua madhubuti kwani hali huku site sio shwari tena.
 
CHAPA2015

Yoote haya hayahusu babati, huko meatu bado kidogo wengi hawajaiona hata helicopter hapo wengi ni watazama helicopter tu.:thumbdown::thumbdown:
 
Last edited by a moderator:
Hivi Geita huwa hakuna watu? Au hela za mabasi ya kukusanya watu zimeisha!
 
Ndugu wanabodi,
Katika hali iliyonishangaza ccm pamoja na kubebwa na kurushwa matangazo yao pekee na ITV.

Taarifa ya habari saa mbili jioni hii 12/12/2014.
Katika mkutano wa hadhara mjini babati wakati akihutubia umati wa watu wachache waliojitokeza,mwenyekiti wa ccm mkoa wa geita ndugu musukuma ambae ameambatana naibu katibu mkuu wa ccm bara mh mwigulu.
Nikimnukuu.
."hatuwezi kutembea tangu asubuhi hadi jioni tukizomewa kama watoto kwa ajili ya watu wachache, ni lazima serikali ichukuwe hatua kwa suala hili la escrow"

Naye mwigulu akihutubia Amesema serikali itawachukulia hatua watumishi wote watakaobainika kukiuka maadili katika halmashauri zote nchini bila kusita.

My take;
Kauli ya ndg musukuma mwenyekiti ccm mkoa wa geita.inaashiria kwamba wamekumbana na hali ambayo hawakutarajia.na ameonyesha kumtumia ujumbe mwenyekiti wao taifa ili achukuwe hatua madhubuti kwani hali huku site sio shwari tena.

"Umati" Wa watu "wachache". Kiswahil hiki ni sahihi kwel!?
 
yaani mtu hapa ndio umefanya uzi wa maana Jf sio ile tena. Mm nilikuwa hata kujiregister nilikuwa naogopa. Watu walikuwa wanaandika nyuzi zenye akili, sio ujinga huu uloleta kwa mfano tukuulize ww lengo la uzi wako utajibu vip?
 
"Umati" Wa watu "wachache". Kiswahil hiki ni sahihi kwel!?

Watu kama hao ndio wanakuwa wawakili wa madiwan na wajumbe wa CDM sasa wasiekewe pingamizi unafkiri? Akili zao ndogo sana Mkuu
 
wezi tutaendelea kuwazomea mpaka warudishe pesa zetu za escrow
 
yaani mtu hapa ndio umefanya uzi wa maana Jf sio ile tena. Mm nilikuwa hata kujiregister nilikuwa naogopa. Watu walikuwa wanaandika nyuzi zenye akili, sio ujinga huu uloleta kwa mfano tukuulize ww lengo la uzi wako utajibu vip?

hujaelewa nini? umeishia la ngapi?
 
yaani mtu hapa ndio umefanya uzi wa maana Jf sio ile tena. Mm nilikuwa hata kujiregister nilikuwa naogopa. Watu walikuwa wanaandika nyuzi zenye akili, sio ujinga huu uloleta kwa mfano tukuulize ww lengo la uzi wako utajibu vip?

Lengo umelielewa na kama ulikuwa ukiogopa kuregister ni sahihi, maana hata thread huwezi ielewa ni sahihi uogope
 
Mwigulu anajijenga binafsi badala ya chama. Amekua akinunua watu Wa kuandika hayo mabango... kazi IPO...

Tatizo mnaukataa ukweli ili kujiridhisha. Ni nani asiyeiona kazi ya mwigulu? Ukweli ni kwamba mwigulu anakubalika kwa kila mtanzania kutokana na uzalendo na utendaji kaazi wake.wafidhina mlie tu mwigulu sio size yenu.
 
CHAPA2015

Yoote haya hayahusu babati, huko meatu bado kidogo wengi hawajaiona hata helicopter hapo wengi ni watazama helicopter tu.:thumbdown::thumbdown:

Mwazwazwa hamkosi sababu.ila ukweli ni kwamba kwa sasa mwigulu ndio chaguo la watanzania
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom