Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 350
Mwigulu anajijenga binafsi badala ya chama. Amekua akinunua watu Wa kuandika hayo mabango... kazi IPO...
Uko sahihi chief, je anaongea haya ndani ya vikao vya chama? Yeye ni kiongozi wa kitaifa
Mwigulu anajijenga binafsi badala ya chama. Amekua akinunua watu Wa kuandika hayo mabango... kazi IPO...
CHAPA2015
Yoote haya hayahusu babati, huko meatu bado kidogo wengi hawajaiona hata helicopter hapo wengi ni watazama helicopter tu.:thumbdown::thumbdown:
Bahati nzuri huyo jamaa amejitambua na ameamua kurudi kundini kwa hiyari yake mwenyewe!Kumbe na wewe umeshamshtukia!!!! Siyo
yaani mtu hapa ndio umefanya uzi wa maana Jf sio ile tena. Mm nilikuwa hata kujiregister nilikuwa naogopa. Watu walikuwa wanaandika nyuzi zenye akili, sio ujinga huu uloleta kwa mfano tukuulize ww lengo la uzi wako utajibu vip?

Bavicha ni zaidi ya uharo
Watu kama hao ndio wanakuwa wawakili wa madiwan na wajumbe wa CDM sasa wasiekewe pingamizi unafkiri? Akili zao ndogo sana Mkuu
Hakuna anaekubalika ndani ya ccm, kazi gani inayofanywa na Mwighulu wakati kila kukicha tunaimba ufisadi,fedha zinakusanywa lakini huduma muhimu hakuna na deni la taifa linakuwa kwa kasi ya kutisha,wachafu na walafi ni wengi kuliko wasafi,ingekuwa enzi zile za nuhu tungemuomba mungu aje awachukue ma ccm wote na gharika kuu,kisha mngeanza upya labda ingesaidia kidogo.Tatizo mnaukataa ukweli ili kujiridhisha. Ni nani asiyeiona kazi ya mwigulu? Ukweli ni kwamba mwigulu anakubalika kwa kila mtanzania kutokana na uzalendo na utendaji kaazi wake.wafidhina mlie tu mwigulu sio size yenu.
yaani mtu hapa ndio umefanya uzi wa maana Jf sio ile tena. Mm nilikuwa hata kujiregister nilikuwa naogopa. Watu walikuwa wanaandika nyuzi zenye akili, sio ujinga huu uloleta kwa mfano tukuulize ww lengo la uzi wako utajibu vip?
Lete ushahidi sio kukurupuka Mwigulu ni field marshall wa kisiasa nyambizi wa kisiasa na ana mvuto wa kipekee kwa watanzania ndio maana tunataka awe Rais wetu 2015.hizo propaganda zenu hazitawasaidia hizi si mbio za sakafuni.mkuu.Mwigulu anajijenga binafsi badala ya chama. Amekua akinunua watu Wa kuandika hayo mabango... kazi IPO...
MWIGULU ni kijana muadirifu weredi wake hauna shaka na umetukuka kwa watanzania.Ni aina ya viongozi Nyerere alikua anawahitaji.Tanzania sasa imepata mtetezi .Hakuna anaekubalika ndani ya ccm, kazi gani inayofanywa na Mwighulu wakati kila kukicha tunaimba ufisadi,fedha zinakusanywa lakini huduma muhimu hakuna na deni la taifa linakuwa kwa kasi ya kutisha,wachafu na walafi ni wengi kuliko wasafi,ingekuwa enzi zile za nuhu tungemuomba mungu aje awachukue ma ccm wote na gharika kuu,kisha mngeanza upya labda ingesaidia kidogo.
wewe vipi? chama hakisafishiki., kimeoza cha msingi ni kuwapiga chini tuu.Mwigulu anajijenga binafsi badala ya chama. Amekua akinunua watu Wa kuandika hayo mabango... kazi IPO...
MWIGULU ni kijana muadirifu weredi wake hauna shaka na umetukuka kwa watanzania.Ni aina ya viongozi Nyerere alikua anawahitaji.Tanzania sasa imepata mtetezi .