Kumekucha!, hatimae Mwigulu amesalimu amri Babati leo

Kumekucha!, hatimae Mwigulu amesalimu amri Babati leo

Hivi Geita huwa hakuna watu? Au hela za mabasi ya kukusanya watu zimeisha!

Mabasi yakwake pesa ya nini tena....huyo mwenyekiti wa geita, baada ya kuendesha biashara yake.

Ngoja nchambiz (mombasa raha) ata bus moja la mwanza to dar hakuna, maCCM yani.
 
"Umati" Wa watu "wachache". Kiswahil hiki ni sahihi kwel!?

Mleta uzi una hashiki majinuni zimekujaa mpaka unajipinga mwenyewe. Umati wa watu wachache? shame on you zwazwa kwani hujitambuhi unachokiongea.
 
yaani mtu hapa ndio umefanya uzi wa maana Jf sio ile tena. Mm nilikuwa hata kujiregister nilikuwa naogopa. Watu walikuwa wanaandika nyuzi zenye akili, sio ujinga huu uloleta kwa mfano tukuulize ww lengo la uzi wako utajibu vip?

Mleta uzi lazima utakuwa ICU kiakili. Ctaki kuamini uko sawa vinginevyo hizi ni hashiki majinuni. Twende na mwigulu 2015
 
yaani mtu hapa ndio umefanya uzi wa maana Jf sio ile tena. Mm nilikuwa hata kujiregister nilikuwa naogopa. Watu walikuwa wanaandika nyuzi zenye akili, sio ujinga huu uloleta kwa mfano tukuulize ww lengo la uzi wako utajibu vip?
"ww""mm" rekebisha uandishi wako.!
 
Watu kama hao ndio wanakuwa wawakili wa madiwan na wajumbe wa CDM sasa wasiekewe pingamizi unafkiri? Akili zao ndogo sana Mkuu

Ujitambuhi mleta uzi akili unazo ndogo nabado hizi hizo ndogo ukakubali kushikiwa. Mwigulu chaguo letu 2015
 
Chai tu

maamuzi ya kuchukua hatua hayapo mikononi wala miguuni mwake
 
Mwigulu anajijenga binafsi badala ya chama. Amekua akinunua watu Wa kuandika hayo mabango... kazi IPO...

Imeona eeh? Mimi nimekuwa ninajiuliza hivi Mwigulu ametumwa na nani au ni mbio za urais? Hiki chama changu kina shida nyingi sana. Kinana anazunguka nchi nzima akisema mawaziri walioteuliwa na rais wa chama chake ni mizigo. Wakati aliyepewa maazimio ya CAG anataka wananchi wote wayajue Mwigulu anapita akitangaza watashughulikiwa
Swali. Who is who in this party? Mbona hawa watu wanam-undermine sana bosi wao? Seemingly there is no collective leadership. Kila mtu anaangalia la kwake. Lakini Mwigulu anashindwa kukumbuka kuwa aliposhauri BMK lisitishwe ili ku-save pesa alipuuzwa? Tusubiri bado ngoma mbichi.
 
pesa za escrow zinafanya kazi

kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Mazwazwa kazi mnayo mwigulu sio size yenu tunauona utendaji kazi wake mtasubiri sana kwa mwigulu mmenoa huyu ndio rais wetu ajaye
 
Yaani we mjinga wa mwisho kabisa. Inamaana wewe kwenye chama chako hujuhi mwigulu ni nani na kinana ni nani? kweli watanzania tumekwisha ckutegemea km kuna mtu anaweza kumbeza kinana au mwigulu maana hawa ndio watetezi wakubwa wa wanyonge na watanzania kwa ujumla.
 
kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Mazwazwa kazi mnayo mwigulu sio size yenu tunauona utendaji kazi wake mtasubiri sana kwa mwigulu mmenoa huyu ndio rais wetu ajaye

Mbona unaongea Kama chiriku?? Weka facts watu wajionee usilete maneno ya khanga Kama changu.
 
Back
Top Bottom