Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Teh teh teh!mambo ya gahawa!kumekucha na makucha yake
Mh!kweli dunia ni uwanja wa fujo,kila mtu anafanya atakalo!Sijui ni wapi lkn kuna Dreva Mmoja wa Tanesco Maeneo wa Ubungo huvalia disign Hiyo! Wa Bongo wasiige!
Migomigo ndiyo nini mkuu?Hii ni migomigo
hakuna kizuri kama vyakula na vinywaji vya mitaani - hasa hiyo kahawa
Migomigo ndiyo nini mkuu?