Teacher kawafanya wanafunzi wake wanne na kuwageuza wake zake anawapitia kwa zamu tu,
Ile anataka kuanza mahusiano na mwanafunzi wa 5 akaenda kushitaki
Jambo LA kujifunza na kuleta utofauti ni kuangalia why wa tano ndio alikataa na kutambua ni ushenzi na kutoa taatifa na si hawa wengine?.
Anawazidi umri? Ana ukaribu gani na wazazi wake? How often wanamfuatilia compared na hawa wengine?.
Maana tukilaumu tu boarding wakati na huku mitaani wanatusuliwa tunakuwa tunakosea na hatutapata suluisho LA kukomesha haya.