gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
ccm wanachoangalia ni safu yao ya uongozi tu,wananchi wa kawaida uangaliwa inapokaribia uchaguzi,kwani uoni maamuzi yao?kuanzia kwenye Bunge mpaka kwa ................... sHuku Kwetu Kuna MwanaCCM mmoja alikuwa ni mwathirika wa UKIMWI kwa muda Mrefu na alikuwa akifuata dawa za kuongeza siku za kuishi makao makuu ya Wilaya ambapo kutoka kijijini kwetu hadi wilayani(Hospitali ya wilaya) nauli ya BUS ni Tsh 10,000/= kwenda na kurudi.Sasa baada ya kumalizika uchaguzi kukatokea utengano wa kiwango cha juu sana, na kwa vile jamaa alikuwa anachangiwa nauli na marafiki zake ambao ni wana CDM wakakata huo mrija na ndugu yetu huyo akawa ameshindwa kuendelea na dozi kwa kukosa nauli ya kwenda kuchukua dawa, Jamaa AFYA yake ikawa mbaya sana na kupelekea kufariki.Bad enough baada ya kufariki watu waligoma kumzika pale kijijini kwa sababu hakuwa na eneo la ardhi yoyote, ilibidi wananzengo watoe taarifa police ndo waliokuja kuuchukua mwili wake na kwenda kuuzika wanakojua wao.
Jamani hili Tamko cyo la kupuuzia hata kidogo kwa sababu baadhi ya watu hasa wana CCM ndo wahanga wakubwa sana wa hili tamko.Kwa MTU asiyejua kinachoendelea sehemu nyingi hapa Tz hasa vijijini anaweza akasema ccm inapendwa lkn ukijitambulisha kuwa wewe ni mwanachama au mshabiki tu wa ccm, watu wanakuona kama vile ni shetani flani hivi.
CCM hili tamko ni baya sana kwa usitawi wa watu wenu I mean wanachama wenu.Kuweni makini.
Ha!, na wewe ni great thinker???.Bavicha wao ni nyungu nyungu hawawezi na hawatoweza kuifanya nchi hii kijiwe cha wavuta bangi ..ati NS anawapendelea CCM my foot mijitu sijui inakunywa mataptap ya wapi.
Sijapinga kuongozwa na walio kwenye vyama,sababu hiyo ndio sheria,lazima kiongozi atoke kwenye chama,hoja yangu ni kuhusu hawa viongozi wa vyama kufikiri wameshika akili za wananchi wote na kutoa kauli ambazo zinaweza kuathiri watu wote. Kwani na wewe una kadi?Ni kweli usemayo ila maisha yako kwa sehemu kubwa hapa nchini utaongozwa na wanasiasa walioko kwenye vyama. Sasa katika mazingira ambayo nyie msio na kadi ya vyama hamna uwezo wa kuongoza inawasaidia nini? Kwa maneno mengine mlio wengi mmepigwa bao na wachache, na kwa sababu hiyo waache wachache wafanye watakavyo kwani mlio wengi hamjitambui. Ukitaka kuwakilisha mawazo yako usilete dharau, vinginevyo utajichoresha tu.
Endelea kusubiri ukudhani tupo karne ya 19.ukisikia mbwembwe ndo hizi,wanafikiri bara ni sawa na zanzibar??kama wao wanajitenga wajitenge tu,waanze na kuwatenga na mama zao na baba zao maana baadhi yao ni wanaccm,hawatoamini na macho yao hayo wanayoyaongea yataishia hapohapo........
naomba utuletee mrejesho leo umewatenga wangapi na faida uliyoipata,labda na mimi nitakuunga mkonoEndelea kusubiri ukudhani tupo karne ya 19.
Kwa mtu anayejitambua MWENYE HOFU YA MWENYEZI MUNGU hauwezi kuufanya huu ujinga...Hapa ni kama umeshiriki mauaji au kukatisha MAISHA YA MWENZIO for the sake ya WATU AMBAO they dont even KNOW if you are existing Kukipigania CHADEMA....wao wanalamba POSHO wewe huku unashiriki mauaji ya kukatisha uhai wa MWENZIO....Mkuu huu ni UJINGA uliopitiliza.....NENDENI MKATUBU kama kweli mmeshiriki DHAMBI hiiHuku Kwetu Kuna MwanaCCM mmoja alikuwa ni mwathirika wa UKIMWI kwa muda Mrefu na alikuwa akifuata dawa za kuongeza siku za kuishi makao makuu ya Wilaya ambapo kutoka kijijini kwetu hadi wilayani(Hospitali ya wilaya) nauli ya BUS ni Tsh 10,000/= kwenda na kurudi.Sasa baada ya kumalizika uchaguzi kukatokea utengano wa kiwango cha juu sana, na kwa vile jamaa alikuwa anachangiwa nauli na marafiki zake ambao ni wana CDM wakakata huo mrija na ndugu yetu huyo akawa ameshindwa kuendelea na dozi kwa kukosa nauli ya kwenda kuchukua dawa, Jamaa AFYA yake ikawa mbaya sana na kupelekea kufariki.Bad enough baada ya kufariki watu waligoma kumzika pale kijijini kwa sababu hakuwa na eneo la ardhi yoyote, ilibidi wananzengo watoe taarifa police ndo waliokuja kuuchukua mwili wake na kwenda kuuzika wanakojua wao.
Jamani hili Tamko cyo la kupuuzia hata kidogo kwa sababu baadhi ya watu hasa wana CCM ndo wahanga wakubwa sana wa hili tamko.Kwa MTU asiyejua kinachoendelea sehemu nyingi hapa Tz hasa vijijini anaweza akasema ccm inapendwa lkn ukijitambulisha kuwa wewe ni mwanachama au mshabiki tu wa ccm, watu wanakuona kama vile ni shetani flani hivi.
CCM hili tamko ni baya sana kwa usitawi wa watu wenu I mean wanachama wenu.Kuweni makini.
Unawasemea Watanzania wapi? Hawa hawa ambao wananunua sukari kilo sh. 3500-6000 sawa na ongezeko la asilimia mia(100) mpaka mia mbili(200)., au hawa ambao awamu ya tano imeongeza ukali na ugumu wa Maisha.?UZURI ni kwamba WATANZANIA hatujafikia level hii ya kufanya MAIGIZO mnayotaka tufanye..afu MKAE MJUE vyama vya SIASA SI DINI ZETU wala MAKABILA YETU kiasi kwamba inaweza tenganisha umoja wetu.....NA KATIKA HILI MNAJIDANGANYA maana CDM haina ushawishi wowote kwa WATANZANIA kwa kipindi hichi ambacho WATANZANIA wote tunamuona MAGUFULI NDIO MKOMBOZI WETU.....kuthibitisha hili tuone kama mtafanikiwa mnachotaka kukifanya.....
AFU na nyie BAVICHA ebu mtuambie TOKEA huu mwaka umeanza mmeisha toa matamko mangapi juu ya SERIKALI HII na JE MAFANIKIO yenu juu ya HAYA MATAMKO ni yepi???...EBU TUPENI MREJESHO ili tuwasapoti katika hili....MAANA TUMEISHA WACHOKA NA MATAMKO YENU YA SIYO KUA NA KICHWA WALA MIGUU
Mwaka huu magamba lazima mjifunze jogingiNa hao Bavicha nani ata wawasemee watanzania au siku hizi vijikundi vya siasa vina power ya kuwasemea watanzania? kuwa kimawazo wewe dogo.
Hivi sukari leo kilo moja bei gani?wapuziii dawa yao kupuuzwa. Rais aendelee na kupiga kazi tu ya kutupeleka kaanani
gogo la shamba umetisha sanahata Libya waliokuwa wanatoa tahadhari waliitwa sisimizi
Hiyo sukari unainua shilingi 6000 wapi MKUU acheni maneno ya KUTUNGA...Afu acheni kulalamika kuhusiana na hili suala la SUKARI KWA SASA maana sababu hasa ya msingi ya kuzuia SUKARI ya nje ni kuvifaidisha viwanda vya NDANI na bado Viwanda vya NDANI havijaanza uzalishaji wake....tusubiri vianje uzalishaji na vitakapo shindwa kutimiza malengo ya SERIKALI ndio tuinyooshe SERIKALI MKONO......Unawasemea Watanzania wapi? Hawa hawa ambao wananunua sukari kilo sh. 3500-6000 sawa na ongezeko la asilimia mia(100) mpaka mia mbili(200)., au hawa ambao awamu ya tano imeongeza ukali na ugumu wa Maisha.?
UZURI ni kwamba WATANZANIA hatujafikia level hii ya kufanya MAIGIZO mnayotaka tufanye..afu MKAE MJUE vyama vya SIASA SI DINI ZETU wala MAKABILA YETU kiasi kwamba inaweza tenganisha umoja wetu.....NA KATIKA HILI MNAJIDANGANYA maana CDM haina ushawishi wowote kwa WATANZANIA kwa kipindi hichi ambacho WATANZANIA wote tunamuona MAGUFULI NDIO MKOMBOZI WETU.....kuthibitisha hili tuone kama mtafanikiwa mnachotaka kukifanya.....
AFU na nyie BAVICHA ebu mtuambie TOKEA huu mwaka umeanza mmeisha toa matamko mangapi juu ya SERIKALI HII na JE MAFANIKIO yenu juu ya HAYA MATAMKO ni yepi???...EBU TUPENI MREJESHO ili tuwasapoti katika hili....MAANA TUMEISHA WACHOKA NA MATAMKO YENU YA SIYO KUA NA KICHWA WALA MIGUU