Kumekucha Arumeru

sio bure umerogwa ni nani huyo mwenye hamu ya lichama linaloangamiza uchumi lilishindwa kila ilichoahidi maisha bora chali uchumi chali, noti mpya chali,yaani kila kitu chali isipokuwa kulishana sumu tu ndio wako juu sasa huyo anayetafuta kadi ya chama hilo lazima atakuwa kichwa kibovu kama sio laana
 
umetumwa kupima upepo?kwa jinsi ninavyowajua magamba urejeshwaji wa kadi za cdm ungepata covarage kubwa sana tbc.pia nikusaidie kitu wameru wanamsimamo mwigula hana ushawishi kwa wameru hata kidogo.
hakika wewe ni GREAT THINKER
 
ww uko siku ya nne? Mim nimezaliwa na magamba hawana chao
 
Tafakari uwezekano wa kadi kupiga kura,mimi ninavyojua ni binadamu ndio anapiga kura.

Kwaheri.
 
umetumwa kupima upepo?kwa jinsi ninavyowajua magamba urejeshwaji wa kadi za cdm ungepata covarage kubwa sana tbc.pia nikusaidie kitu wameru wanamsimamo mwigula hana ushawishi kwa wameru hata kidogo.
mzaha mzaha hutumbua usaha.....Igunga ilikuwa hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…